yamebakia masaa machache tu, mama hawezi kufanya kazi na kikundi Cha wahaini na wapinga maendeleo, Tanzania ni Nchi ya amani, Jobo na kundi lake wanataka Madaraka kwa njia haramu ya kuchonganisha serikali na wananchi. Must Go,iwe kwa hiari or notNdugai hawezi jiuzulu. Bunge ni mhimili unaojitegemea π.Hivi Bunge na Mahakama vipo huru kweli ?Dictator Nyerere kweli alituachia majanga. Na kupata solutions ni ngumu. Mpaka wote waliozaliwa kabla ya uhuru wafe dunia.
Aeleze mikakati ya kuwasaidia wapiga kura jimbo la Kawe ili wajipatie maendeleo endelevu. Aachane na masuala yasiyomuhusu.
Kinachoshangaza ile kauli tu watu watemwa uwaziriKuna watu ni selfish asee yaani unaleta sintofahamu kubwaaa kisa tu uonyeshe mabavu
Kazi ya uspika anaitaka kufa mtu lakini atapata wapi tena nguvu? Akimsifia mama ataonekana mnafiki akipinga juhudi za serikali ataonekana kweli ana nia mbaya kwa mama., yaani hakuna namna nyengine ndugai amejiharibia mwenyewe dakika 5 alizotumia kuongea kitu ambacho hakukifanyaia tathmini ya kina impact yakeNdugai hawezi kujihuzulu atafanya kazi gani?
Mtaje mmojaUbora gani mpuuzi tu huyo.
Naamini wapo wana CCM Bora tu wanaoweka kukalia kiti hicho Cha uspika zaidi ya Hilo litakataka
Duh ! Hii Kali !!Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.
Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu nafasi zake zote ndani ya CCM na bungeni.
Mayalla maana yake n njaa!Hizo taarifa za kujiuzulu nafasi zote ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu, ubunge na ujumbe wa CC unaendelwa hadi kuitishwe kikao cha chama kumjadili. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
Ahahaha,kumbe nawewe ni kundi la kina Jobo, mmekwisha, mtaenda kuanzisha chama chenu na Jobo nyugai,Hizo taarifa za kujiuzulu nafasi zote ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu, ubunge na ujumbe wa CC unaendelwa hadi kuitishwe kikao cha chama kumjadili. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
Covid 19 kutolewa bungeni sahau wale CCM wanawatumia kupata mikopo yao.Kama ni kweli sasa tutaona bunge lenye mwelekeo. Ila isije kuwa katiba ina sema kiti kina rithiwa kama cha Rais. Mambo yata kuwa yale yale. Halafu niwatakie safari njema covid 19
Pasco Acha kuzeeeka vibaya, unamwambia mleta mada muongo kwa lipi, kwani haiwezekani kujiuzulu nafasi zote? Hajasema amefukuzwa we vipi! Kujiuzulu hakuhitaji vikao.Hizo taarifa za kujiuzulu nafasi zote ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu, ubunge na ujumbe wa CC unaendelwa hadi kuitishwe kikao cha chama kumjadili. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
Unafkiria ni rahisi., atoke basi akafanye kazi unadhani huko aliko anaweza ata kujitutumua mbele za watu akavaa na yale makoti ya bungeni, inauma sana hakutegemeaKwanini ajiuzulu kirahisi hivyo? Au kwakuwa bado ni tetesi?
Kiti atapewa Tulia ambaye nae ni mpuuzi kuliko Ndugai.Ubora gani mpuuzi tu huyo.
Naamini wapo wana CCM Bora tu wanaoweka kukalia kiti hicho Cha uspika zaidi ya Hilo litakataka
Nani kakwambia kujiuzulu hizo nafasi mpaka usubiri kikao Cha Chama?Kufukuzwa sawa,ila kujiuzulu ni mtu mwenyewe muda wowote anabwaga manyanga!Hizo taarifa za kujiuzulu nafasi zote ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu, ubunge na ujumbe wa CC unaendelwa hadi kuitishwe kikao cha chama kumjadili. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
Kwamba yeye Ndy Great thinker kuliko Wabunge wote waliochaguliwa na Jiwe?Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
kwaiyo kusema Nchi itapigwa mnada, kusema wananchi 2025 wataangalia wachague serikali inayokopakopa au waisaliti, we huoni Kama hizo kauli ni viashiria vya uhaini?Haya ni maoni yako mkuu!
Ndugai hawezi jiuzulu. Bunge ni mhimili unaojitegemea π.Hivi Bunge na Mahakama vipo huru kweli ?Dictator Nyerere kweli alituachia majanga. Na kupata solutions ni ngumu. Mpaka wote waliozaliwa kabla ya uhuru wafe dunia.
WhatWhat goes around comes around watu wote lazima wajue hivyo,
Pascal Mayalla ana mihemko, Bado hawezi kuamini kiongozi wa kundi lao amekalia kuti kavuπNani kakwambia kujiuzulu hizo nafasi mpaka usubiri kikao Cha Chama?Kufukuzwa sawa,ila kujiuzulu ni mtu mwenyewe muda wowote anabwaga manyanga!
Acha kuendeshwa na mihemko!