kidereko
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 882
- 1,262
yamebakia masaa machache tu, mama hawezi kufanya kazi na kikundi Cha wahaini na wapinga maendeleo, Tanzania ni Nchi ya amani, Jobo na kundi lake wanataka Madaraka kwa njia haramu ya kuchonganisha serikali na wananchi. Must Go,iwe kwa hiari or notNdugai hawezi jiuzulu. Bunge ni mhimili unaojitegemea 🙄.Hivi Bunge na Mahakama vipo huru kweli ?Dictator Nyerere kweli alituachia majanga. Na kupata solutions ni ngumu. Mpaka wote waliozaliwa kabla ya uhuru wafe dunia.