Kikao cha Kamati zote za Bunge kilichokuwa kiongozwe na Spika Job Ndugai leo chaahirishwa

Kikao cha Kamati zote za Bunge kilichokuwa kiongozwe na Spika Job Ndugai leo chaahirishwa

Ndugai hawezi jiuzulu. Bunge ni mhimili unaojitegemea 🙄.Hivi Bunge na Mahakama vipo huru kweli ?Dictator Nyerere kweli alituachia majanga. Na kupata solutions ni ngumu. Mpaka wote waliozaliwa kabla ya uhuru wafe dunia.
yamebakia masaa machache tu, mama hawezi kufanya kazi na kikundi Cha wahaini na wapinga maendeleo, Tanzania ni Nchi ya amani, Jobo na kundi lake wanataka Madaraka kwa njia haramu ya kuchonganisha serikali na wananchi. Must Go,iwe kwa hiari or not
 
Aeleze mikakati ya kuwasaidia wapiga kura jimbo la Kawe ili wajipatie maendeleo endelevu. Aachane na masuala yasiyomuhusu.

Hivi huyu jamaa tokea awe mbunge kuna kitu gani wananchi wa jimbo la Kawe wamenufaika nalo?
 
Ndugai hawezi kujihuzulu atafanya kazi gani?
Kazi ya uspika anaitaka kufa mtu lakini atapata wapi tena nguvu? Akimsifia mama ataonekana mnafiki akipinga juhudi za serikali ataonekana kweli ana nia mbaya kwa mama., yaani hakuna namna nyengine ndugai amejiharibia mwenyewe dakika 5 alizotumia kuongea kitu ambacho hakukifanyaia tathmini ya kina impact yake

Ni kama vile ndugai haikuwa akili yake kuongea vile., ni majuto sana, kule kwetu tunasema "Amepazwa"
 
Ni jambo jema.
Nothing is permanent. Hakuna aliezaliwa na kila alichonacho sasa.
 
Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.

Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu nafasi zake zote ndani ya CCM na bungeni.
Duh ! Hii Kali !!
 
Hizo taarifa za kujiuzulu nafasi zote ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu, ubunge na ujumbe wa CC unaendelwa hadi kuitishwe kikao cha chama kumjadili. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
Ahahaha,kumbe nawewe ni kundi la kina Jobo, mmekwisha, mtaenda kuanzisha chama chenu na Jobo nyugai,

Mama hataki kumuona Jobo( hizo ni habari za ghaibu nimekumegea!!
 
Kama ni kweli sasa tutaona bunge lenye mwelekeo. Ila isije kuwa katiba ina sema kiti kina rithiwa kama cha Rais. Mambo yata kuwa yale yale. Halafu niwatakie safari njema covid 19
Covid 19 kutolewa bungeni sahau wale CCM wanawatumia kupata mikopo yao.
 
Hizo taarifa za kujiuzulu nafasi zote ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu, ubunge na ujumbe wa CC unaendelwa hadi kuitishwe kikao cha chama kumjadili. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
Pasco Acha kuzeeeka vibaya, unamwambia mleta mada muongo kwa lipi, kwani haiwezekani kujiuzulu nafasi zote? Hajasema amefukuzwa we vipi! Kujiuzulu hakuhitaji vikao.

Au ndugu yetu unazo taarifa za uhakika wa lililofanyika huko kwenye vikao vyao vya ndani utuwekee hapa ili tuachane na tetesi.
 
Kwanini ajiuzulu kirahisi hivyo? Au kwakuwa bado ni tetesi?
Unafkiria ni rahisi., atoke basi akafanye kazi unadhani huko aliko anaweza ata kujitutumua mbele za watu akavaa na yale makoti ya bungeni, inauma sana hakutegemea
 
Hizo taarifa za kujiuzulu nafasi zote ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu, ubunge na ujumbe wa CC unaendelwa hadi kuitishwe kikao cha chama kumjadili. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
Nani kakwambia kujiuzulu hizo nafasi mpaka usubiri kikao Cha Chama?Kufukuzwa sawa,ila kujiuzulu ni mtu mwenyewe muda wowote anabwaga manyanga!
Acha kuendeshwa na mihemko!
 
Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Kwamba yeye Ndy Great thinker kuliko Wabunge wote waliochaguliwa na Jiwe?
 
Haya ni maoni yako mkuu!
kwaiyo kusema Nchi itapigwa mnada, kusema wananchi 2025 wataangalia wachague serikali inayokopakopa au waisaliti, we huoni Kama hizo kauli ni viashiria vya uhaini?

Jobo anaigombanisha serikali na wananchi,so ajiuzulu akawe mpinzani apinge vizuri sasa
 
Ndugai hawezi jiuzulu. Bunge ni mhimili unaojitegemea 🙄.Hivi Bunge na Mahakama vipo huru kweli ?Dictator Nyerere kweli alituachia majanga. Na kupata solutions ni ngumu. Mpaka wote waliozaliwa kabla ya uhuru wafe dunia.
WhatWhat goes around comes around watu wote lazima wajue hivyo,
 
Ndugai amwage mboga ya wanufaika wa 10% ya bandari ya wachina ya Bagamoyo!
 
Back
Top Bottom