Kikao cha leo kinazungumzia kwanini hujaoa na kwanini huolewi

Kikao cha leo kinazungumzia kwanini hujaoa na kwanini huolewi

wanajifanyaa oooh ndoa ni utapel wanaanza kuja kutusumbua kuomba ushauri oooh nikiingiza inalala humo humo haiamki sasa si uimwagie maji itashtuka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Si ndo apo,au aipunyue na maji ya moto kama kuku๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,wenyewe wanajiita uwabata๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Uyo unaemwona ajaoelewa ana madanga 6 yote yanahudumia vizuri sasa anashindwa amchague yupi na unaeona hajaoa ana madem 15 na wote wamekula ela zote hadi ya kutolea mahali.
Siku hizi hamna aliye single,lazima atakuwa anapiga ndondo sehemu tofauti tofauti, huku akiendelea kutafuta timu kwa ajili ya usajili wa kudumu.
 
Back
Top Bottom