Kikao cha leo kinazungumzia kwanini hujaoa na kwanini huolewi

Kikao cha leo kinazungumzia kwanini hujaoa na kwanini huolewi

Mabinti ambao hawajaolewa, ni kwa sababu wanaume wanaotakiwa kuwaoa wanajitafuta, lakini wengine wameshapoteza ile sifa ya kuolewa(mfano: mashangazi) ambao sasa wamejipa jukumu la kuwaoa vijana wanaojifuta
 
Ndugu mwenyekiti, vijana wengi hawajaoa kwa sababu, wanajitafuta hiyo sababu yao ya msingi.
Asante sana kwa maoni ndugu katibu,lakin vijana wa leo n waongo maisha yao ugaigai ujanja mwingi mjini,unategemea kutokea nini apo🥱🥱🥱🥱🥱🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️
 
Back
Top Bottom