Kikao cha leo kinazungumzia kwanini hujaoa na kwanini huolewi

Kikao cha leo kinazungumzia kwanini hujaoa na kwanini huolewi

Asante sana kwa maoni ndugu katibu,lakin vijana wa leo n waongo maisha yao ugaigai ujanja mwingi mjini,unategemea kutokea nini apo🥱🥱🥱🥱🥱🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️
😂😂😂😂nimekuwa katibu tena?, lakini kuna hoja hapa mwenyekiti hao vijana wanaodai kujitafuta bado huwa wanahitaj mahitaji ya ndoa kama kupikiwa, kufuliwa na kupewa tamu ya baba, ili hali wamesema wanajitafuta hapa ndio penye mzizi wa fitina
 
Uyo unaemwona ajaoelewa ana madanga 6 yote yanahudumia vizuri sasa anashindwa amchague yupi na unaeona hajaoa ana madem 15 na wote wamekula ela zote hadi ya kutolea mahali.
Wanazingua sana, mtu anasema sijaona wa kuoa tayari kwa muda mfupi anasema amelala nao kama 6 hivi na ameshagundua wanatoa harufu kwa Bibi, hawa vijana hawaaminiki
 
😂😂😂😂nimekuwa katibu tena?, lakini kuna hoja hapa mwenyekiti hao vijana wanaodai kujitafuta bado huwa wanahitaj mahitaji ya ndoa kama kupikiwa, kufuliwa na kupewa tamu ya baba, ili hali wamesema wanajitafuta hapa ndio penye mzizi wa fitina
Umepandishwa cheo kama rc wa arusha😂😂😂,sawa sawa ndugu katibu,waambie waache Uharibifu wafanye waoe
 
Umepandishwa cheo kama rc wa arusha😂😂😂,sawa sawa ndugu katibu,waambie waache Uharibifu wafanye waoe
Kah! sema wengine wamejifanya wamejiunga kwenye chama cha kataa ndoa ili hali wanapata huduma za ndoani, kua mmoja amesharudisha kadi tayari anasema kataa ndoa ni chama cha wahuni wanaojichukulia sheria mkononi
 
Back
Top Bottom