SSEKK The Literally
JF-Expert Member
- Sep 5, 2023
- 1,134
- 1,905
Wengne tumeshayatimba huku watu hawaoni days zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari yakoUtakaa hapo hadi uchoke
Mahusiano ya ndoa ni kwa ajili ya wenye akili tu, hekima na busaraKIKAO CHA LEO
Kinazungumzia Kwanini Hujaoa Na kwanini Huolewi
Kikao Kimeanza Karibu Kwa Maoni✍️
Mahusiano ya ndoa ni kwa ajili ya wenye akili tu, hekima na busaraKIKAO CHA LEO
Kinazungumzia Kwanini Hujaoa Na kwanini Huolewi
Kikao Kimeanza Karibu Kwa Maoni✍️
Haya nimejitokeza njoo nikuwowe basi....sina mengi mie irimradi unapumua na mbususu ipoKwasababu sijapata wa kunioa
Kwa hiyo sie bwege mtozeni tusijisumbueMahusiano ya ndoa ni kwa ajili ya wenye akili tu, hekima na busara
Nafikir nitaolewa soon tu nimeshakua mdada Mkubwa
Majibu ya kisiasa hayakubaliki hapa🤣🤣🤣🤣🤣Nafikir nitaolewa soon tu nimeshakua mdada Mkubwa
Really rafikiyngu sema naogopa sana sijui ninashida ganiMajibu ya kisiasa hayakubaliki hapa🤣🤣🤣🤣🤣
Wogopa nini tena besty? Ndoa tamu wewe ee acha tuu. Wee huo i kuwa wajitesa kujitafutia kula na ma azi wakati ukiolewa vyote mumeo anakuleteaReally rafikiyngu sema naogopa sana sijui ninashida gani
Oa wew acha visingizioKwann sijaona
Mimi: Kwann sikuonagi benki
Nyani haoni kundule🤣🤣🤣🤣🤣Oa wew acha visingizio
Unaogopa kuolewa????? Unajichelewesha tuReally rafikiyngu sema naogopa sana sijui ninashida gani