Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
- Thread starter
-
- #121
Si ndo apo,au aipunyue na maji ya moto kama kukuπππ,wenyewe wanajiita uwabataπππwanajifanyaa oooh ndoa ni utapel wanaanza kuja kutusumbua kuomba ushauri oooh nikiingiza inalala humo humo haiamki sasa si uimwagie maji itashtukaππππ
ππππSi ndo apo,au aipunyue na maji ya moto kama kukuπππ,wenyewe wanajiita uwabataπππ
Hahahaa! Hatari sana Mkuu.Imagine ningekua nimeoa sasa! πππ
Siku hizi hamna aliye single,lazima atakuwa anapiga ndondo sehemu tofauti tofauti, huku akiendelea kutafuta timu kwa ajili ya usajili wa kudumu.Uyo unaemwona ajaoelewa ana madanga 6 yote yanahudumia vizuri sasa anashindwa amchague yupi na unaeona hajaoa ana madem 15 na wote wamekula ela zote hadi ya kutolea mahali.
Wakongwe kaziniπππSiku hamna aliye single,lazima atakiwa anapiga ndondo sehemu tofauti tofauti, huku akiendelea kutafuta timu kwa ajili ya usajili wa kudumu.
Umeamua usarende ππ1. Cjapata wa kufanana nae bado
2. Umri bado unaniruhs kutooa
3. Sheria za dini yng kuhs kuoa n ngumu
5. Bado najitafta