kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza chanzo cha ndani kinasema baada ya Gamondi ametaka watu kumfanya kichaka cha kujifichia ilibidi ang'ake na kuwa mkali na kila mmoja afanye kazi yake kwa matokeo yeye asilimia mia atayafanyia kazi.
Ameng'aka kuna wachezaji uongozi unachangia unawafanya kama rafiki zao imepelekea kuwa kama Mungu watu.
Aliulizwa kwanini baadhi ya wachezaji hawatumii nae akajibu kwanini hilo swali halikuwepo wakati timu inashinda, viongozi wameuliza kwanini timu inapata ushindi wa goli moja hapo ndipo alipokuw mkali sana.
Kumbukeni chanzo cha taarifa hii ni nyeti najua yanga watakuja kukanusha lakini ndio ukweli wenyewe!
PIA SOMA
- Yanga Yaitisha Kikao Cha Dharura Usiku Huu, Gamondi Kikangaoni