Kikao Cha Wanaume: Mwanamke wako alifanya nini ukaanza kumchukulia poa?

Rorscharch

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
878
Reaction score
2,014
Ilikuwaje ulikuwa unamjali mwanamke wako lakini sahizi hata akwambie anaumwa unaona sawa tu kama siku nyingine

Ilikuaje ukaanza kumaindi vitu vidogo vidogo mfano hata matumizi ya kawaida ya nyumbani (pesa ya matumizi kulipa deni la Muha)
 
Duuuh ngoja waje waliopigwa na vitu vizito kutoa ushuhuda.

Sumu ya mapenzi ni maudhi - khalid Chokaraa.
 
Nilikua nampa pesa ya Matumiz Kila siku anaiona ndogo, kumbuka huyu mwanamke sikai nae.
Juzi kanitafuta anasema anashida na Bili ya maji na Umeme... Ni sikiliza nakuyaacha hapo hapo. Baada ya kukata simu Ili bidi nichek tu, Pesa Ya matumizi Uliona ndogo Leo unakumbuka shuka wakati kumekucha.
 
alitumia unene wake kuniadhibu!, kisa yeye anatunyamanyama kunizidi akatumia hiyo nafasi kunipa kerebu!!.
wakati mimi natumia ngumi kujilinda yeye akaja ki mgongo mgongo kwa spidi ya sgr!, nikashindwa kuhimili uzito wake nikaangua na hilo ndilo likawa kosa, akanilalia huku akinibana mbavu nilipoona nitakufa hapa nilipiga welelo majirani wakaja kuokoa jahazi!..

kuanzia hapo nikawa simjali maana niliona kabisa naishi na mpiganaji mieleka!. wito usiingie kwenye mahusiano na mwanamke mnene kama wewe ni mwembamba ipo siku isiyona jina utaipa jina!.
 
Mawasiliano muhimu sana, akianza kuyapuuza.. huyo hana maana tena, tafuta namna kula kisha pita kushoto
 
alitumia unene wake kuniadhibu!, kisa yeye anatunyamanyama kunizidi akatumia hiyo nafasi kunipa kerebu!!.
wakati mimi natumia ngumi kujilinda yeye akaja ki mgongo mgongo kwa spidi ya sgr!, nikashindwa kuhimili uzito wake nikaangua na hilo ndilo likawa kosa, akanilalia huku akinibana mbavu nilipoona nitakufa hapa nilipiga welelo majirani wakaja kuokoa jahazi!..

kuanzia hapo nikawa simjali maana niliona kabisa naishi na mpiganaji mieleka!. wito usiingie kwenye mahusiano na mwanamke mnene kama wewe ni mwembamba ipo siku isiyona jina utaipa jina!.
😂😂😂 spidi ya ngiri, daa! watu mnachekesha hatari.
 
Hata wembamba hunenepa kufikia kiwango hicho cha mpigana mieleka😀
 
Nilipogundua ni muongo muongo yaani muongo sana na anapenda suruali zingine nikaona huyu ataniumiza kichwa tu wacha nichukulie jinsi alivyo..... Imagine ana guts za kufunga zipu suruali wanaume wengine🤔 nikajisemea hapa Sina mtu
 
alitumia unene wake kuniadhibu!, kisa yeye anatunyamanyama kunizidi akatumia hiyo nafasi kunipa kerebu!!.
wakati mimi natumia ngumi kujilinda yeye akaja ki mgongo mgongo kwa spidi ya sgr!, nikashindwa kuhimili uzito wake nikaangua na hilo ndilo likawa kosa, akanilalia huku akinibana mbavu nilipoona nitakufa hapa nilipiga welelo majirani wakaja kuokoa jahazi!..

kuanzia hapo nikawa simjali maana niliona kabisa naishi na mpiganaji mieleka!. wito usiingie kwenye mahusiano na mwanamke mnene kama wewe ni mwembamba ipo siku isiyona jina utaipa jina!.
Nilishawahi kushuhudia kitu kama hiki kwa jamaa yetu mmoja zamani kwenye 2004 hivi.
Yule dada giant, alikuwa anambonda sana mshkaji.
Jamaa alifariki around 2008/9 hapo.
Sikujua exactly kama kifo chake kilihusiana na madhila aliyoyapitia kwa mkewe au la!
 
😭
 
Alianza kutumia sindano za uzazi bila Mimi kujua, aisee zile sindano zinawakosesha hamu ya kushenyenta utapiga mashine weeeeee limtu halifiki kileleni, badae likaanza kuniambia eti nina upungufu wa nguvu siliwezi.. Kuna siku tumepanga nimpeleke manunuzi sasa kwenye kupanga vitu aandae mkoba akatoa kikaratasi ambacho kilikua na ratiba ya ku attend clinic Kwa ajili ya sindano ijayo... Aisee nilikasirika nikafoka balaa... Shopping hatukwenda na tangu hapo nikajua hapa hakuna wife ni ufyongo tu
 
Pole Sana, pengine alifanya hivyo kwa kuona hali halisi ya vipato vyenu, au ni ushauri wa kiseng** wanapeana huko na mashost zake
 
Ilikuwaje ulikuwa unamjali mwanamke wako lakini sahizi hata akwambie anaumwa unaona sawa tu kama siku nyingine

Ilikuaje ukaanza kumaindi vitu vidogo vidogo mfano hata matumizi ya kawaida ya nyumbani (pesa ya matumizi kulipa deni la Muha)
Kuhack mawasiliano ya demu na kukuta analombwa na jamaa kama watano nlivomuonesha akastuka nikapiga chini akaniambia tuone kama utampata mwanamke ambaye hana mabwana wengine hiyo nayo ikawa kaniachia homework 😂
 
Attachments

  • IMG_20241107_174011.jpg
    IMG_20241107_174011.jpg
    226.7 KB · Views: 3
Back
Top Bottom