Kikao Cha Wanaume: Mwanamke wako alifanya nini ukaanza kumchukulia poa?

Kikao Cha Wanaume: Mwanamke wako alifanya nini ukaanza kumchukulia poa?

Nilikua nampa pesa ya Matumiz Kila siku anaiona ndogo, kumbuka huyu mwanamke sikai nae.
Kwa nini ulikuwa unampa pesa mwanamke ambaye sio mke wako?

Hujioni ulikuwa mjinga mkuu?

Dont play fatherly or husband role on a girlfriend

Ishi humo
 
Nilimkuta mamaake anapigwa miti na stranger dukani kwao. From there nikawa namfananisha na mamaake
 
20241024_133549.jpg


#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
alitumia unene wake kuniadhibu!, kisa yeye anatunyamanyama kunizidi akatumia hiyo nafasi kunipa kerebu!!.
wakati mimi natumia ngumi kujilinda yeye akaja ki mgongo mgongo kwa spidi ya sgr!, nikashindwa kuhimili uzito wake nikaangua na hilo ndilo likawa kosa, akanilalia huku akinibana mbavu nilipoona nitakufa hapa nilipiga welelo majirani wakaja kuokoa jahazi!..

kuanzia hapo nikawa simjali maana niliona kabisa naishi na mpiganaji mieleka!. wito usiingie kwenye mahusiano na mwanamke mnene kama wewe ni mwembamba ipo siku isiyona jina utaipa jina!.
🤣
 
Wanaume wachache sana wanajitambua mkuu, imagine unaishi gomz yeye yupo tabata na kila siku unatuma matumizi, as if ni mkeo, ushamba tu!
Ushamba sana mkuu halafu utakuta jitu senge kama hilo linajisifu eti nahudumia

Hakuna cha kuhudumia ni kutapeliwa tu
 
Back
Top Bottom