Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
Ilikuwaje ulikuwa unamjali mwanamke wako lakini sahizi hata akwambie anaumwa unaona sawa tu kama siku nyingine
Ilikuaje ukaanza kumaindi vitu vidogo vidogo mfano hata matumizi ya kawaida ya nyumbani (pesa ya matumizi kulipa deni la Muha)
😂😂😂 spidi ya ngiri, daa! watu mnachekesha hatari.alitumia unene wake kuniadhibu!, kisa yeye anatunyamanyama kunizidi akatumia hiyo nafasi kunipa kerebu!!.
wakati mimi natumia ngumi kujilinda yeye akaja ki mgongo mgongo kwa spidi ya sgr!, nikashindwa kuhimili uzito wake nikaangua na hilo ndilo likawa kosa, akanilalia huku akinibana mbavu nilipoona nitakufa hapa nilipiga welelo majirani wakaja kuokoa jahazi!..
kuanzia hapo nikawa simjali maana niliona kabisa naishi na mpiganaji mieleka!. wito usiingie kwenye mahusiano na mwanamke mnene kama wewe ni mwembamba ipo siku isiyona jina utaipa jina!.
mkuu unajua kusoma kweli😂😂😂 spidi ya ngiri, daa! watu mnachekesha hatari.
Hata wembamba hunenepa kufikia kiwango hicho cha mpigana mieleka😀alitumia unene wake kuniadhibu!, kisa yeye anatunyamanyama kunizidi akatumia hiyo nafasi kunipa kerebu!!.
wakati mimi natumia ngumi kujilinda yeye akaja ki mgongo mgongo kwa spidi ya sgr!, nikashindwa kuhimili uzito wake nikaangua na hilo ndilo likawa kosa, akanilalia huku akinibana mbavu nilipoona nitakufa hapa nilipiga welelo majirani wakaja kuokoa jahazi!..
kuanzia hapo nikawa simjali maana niliona kabisa naishi na mpiganaji mieleka!. wito usiingie kwenye mahusiano na mwanamke mnene kama wewe ni mwembamba ipo siku isiyona jina utaipa jina!.
Nilishawahi kushuhudia kitu kama hiki kwa jamaa yetu mmoja zamani kwenye 2004 hivi.alitumia unene wake kuniadhibu!, kisa yeye anatunyamanyama kunizidi akatumia hiyo nafasi kunipa kerebu!!.
wakati mimi natumia ngumi kujilinda yeye akaja ki mgongo mgongo kwa spidi ya sgr!, nikashindwa kuhimili uzito wake nikaangua na hilo ndilo likawa kosa, akanilalia huku akinibana mbavu nilipoona nitakufa hapa nilipiga welelo majirani wakaja kuokoa jahazi!..
kuanzia hapo nikawa simjali maana niliona kabisa naishi na mpiganaji mieleka!. wito usiingie kwenye mahusiano na mwanamke mnene kama wewe ni mwembamba ipo siku isiyona jina utaipa jina!.
Hapana mkuu, ndio nimeanza memkwa hapa, kwani kuna shido?mkuu unajua kusoma kweli
utakuwa ushajua namna ya kumdhibiti!Hata wembamba hunenepa kufikia kiwango hicho cha mpigana mieleka😀
😭Nilishawahi kushuhudia kitu kama hiki kwa jamaa yetu mmoja zamani kwenye 2004 hivi.
Yule dada giant, alikuwa anambonda sana mshkaji.
Jamaa alifariki around 2008/9 hapo.
Sikujua exactly kama kifo chake kilihusiana na madhila aliyoyapitia kwa mkewe au la!
mh!Hapana mkuu, ndio nimeanza memkwa hapa, kwani kuna shido?
Nimecheka sana hiyo spidi ya kurudi nyuma kama ngiri pori, hayo tu mkuu.
Alianza kutumia sindano za uzazi bila Mimi kujua, aisee zile sindano zinawakosesha hamu ya kushenyenta utapiga mashine weeeeee limtu halifiki kileleni, badae likaanza kuniambia eti nina upungufu wa nguvu siliwezi.. Kuna siku tumepanga nimpeleke manunuzi sasa kwenye kupanga vitu aandae mkoba akatoa kikaratasi ambacho kilikua na ratiba ya ku attend clinic Kwa ajili ya sindano ijayo... Aisee nilikasirika nikafoka balaa... Shopping hatukwenda na tangu hapo nikajua hapa hakuna wife ni ufyongo tu
Pole Sana, pengine alifanya hivyo kwa kuona hali halisi ya vipato vyenu, au ni ushauri wa kiseng** wanapeana huko na mashost zake
Kuhack mawasiliano ya demu na kukuta analombwa na jamaa kama watano nlivomuonesha akastuka nikapiga chini akaniambia tuone kama utampata mwanamke ambaye hana mabwana wengine hiyo nayo ikawa kaniachia homework 😂Ilikuwaje ulikuwa unamjali mwanamke wako lakini sahizi hata akwambie anaumwa unaona sawa tu kama siku nyingine
Ilikuaje ukaanza kumaindi vitu vidogo vidogo mfano hata matumizi ya kawaida ya nyumbani (pesa ya matumizi kulipa deni la Muha)