Kikao Cha Wanaume: Mwanamke wako alifanya nini ukaanza kumchukulia poa?

Nilikua nampa pesa ya Matumiz Kila siku anaiona ndogo, kumbuka huyu mwanamke sikai nae.
Kwa nini ulikuwa unampa pesa mwanamke ambaye sio mke wako?

Hujioni ulikuwa mjinga mkuu?

Dont play fatherly or husband role on a girlfriend

Ishi humo
 
Nilimkuta mamaake anapigwa miti na stranger dukani kwao. From there nikawa namfananisha na mamaake
 
🤣
 
Wanaume wachache sana wanajitambua mkuu, imagine unaishi gomz yeye yupo tabata na kila siku unatuma matumizi, as if ni mkeo, ushamba tu!
Ushamba sana mkuu halafu utakuta jitu senge kama hilo linajisifu eti nahudumia

Hakuna cha kuhudumia ni kutapeliwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…