Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

Leo nimeukwepa huu mtego. Nimefika mjini nikamjulisha schoolmate wangu kwamba nipo mjini. Akafurahi sana, akauliza lini tutaonana. Nikamwambia siku naondoka kurudi makao makuu ntakutafuta asubuhi yake.
Sasa leo kanitafuta mapema anasema tayari amesha pata ruhusa kwa mume nimpe location.
Sasa kila location ambayo ntamtajia tuonane (ya chakula na vinywaji) kwa ajili ya kusalimiana na kupiga stori za hapa na pale, mwenzangu akazikataa zote.
Nikamwambia sasa wewe ni mwenyeji, niambie wapi tuonane. Akacheka kwa kejeli flani, akanambia kumbe bado hujakua, jifikirie kwanza then utanirudia.
Sasa katika D mbili nilizonazo, nna ka A ka hisabati, nikaishia kucheka tu.
Saiv nipo safari, sijamrudia.
 
Hiyo A ya hisabati haina faida kwako bora tuu ungefeliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo A ya hisabati haina faida kwako bora tuu ungefeliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu naona kama unanialaumu na wewe
 
Ahsante Mwenyekiti,naomba kikao Cha mwezi wa kumi katibu awasilisho maazimio ya kikao kilichopita pamoja na utekelezaji wake, ambaye atashindwa KUSHIRIKI katika kikao hicho mawazo yake yatawasilishwa na wengine
 
Hahahah au aongo hao Wacha tuone kama tutawezaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tupe kisa mkuu

Wakiwabeba mashangazi huwa wanawashika bodaboda "dudu la yuyu" ,kama boda watatu tofauti washanaimbia vitu kama hivyo ,bodaboda mmoja akapita naye fresh ila wawili wale kama walipotezea maana kama wangegusa tu ingekuwa imooo...wanajirahisisha sana hadi nomaaa sasa sijui labda wanataka wawe wanabebwa bure au lah.
 
Au waume zao hawawapi
 
Au waume zao hawawapi

What if hawana pia wanaume? Na kama hawapewi ndiyo wawashike Dudu la Yuyu bodaboda? kwanini wasiwashike waume zao? What if wanawarubuni bodaboda ili wawe wanapanda bure baada ya KUMPEA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…