Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
ni sumu kubwaMke wa mtu mkimbie kama Yusuph wa kwenye Biblia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni sumu kubwaMke wa mtu mkimbie kama Yusuph wa kwenye Biblia!
Kula na Wewe uwe tayari kupaka vilainishi baridiii!Sasa kama inajilengesha kwa nini nisiigegede bwana wewe.
Sawa zipo nyingi lakini inayojileta yenyewe sharti uigegede
Ajali kaziniKula na Wewe uwe tayari kupaka vilainishi baridiii!
Siwezi nyima mwanamke kile kitu anataka mwanawaneunafunika kombe mwanaharamu apite
Hiyo A ya hisabati haina faida kwako bora tuu ungefeli😂😂😂😂Leo nimeukwepa huu mtego. Nimefika mjini nikamjulisha schoolmate wangu kwamba nipo mjini. Akafurahi sana, akauliza lini tutaonana. Nikamwambia siku naondoka kurudi makao makuu ntakutafuta asubuhi yake.
Sasa leo kanitafuta mapema anasema tayari amesha pata ruhusa kwa mume nimpe location.
Sasa kila location ambayo ntamtajia tuonane (ya chakula na vinywaji) kwa ajili ya kusalimiana na kupiga stori za hapa na pale, mwenzangu akazikataa zote.
Nikamwambia sasa wewe ni mwenyeji, niambie wapi tuonane. Akacheka kwa kejeli flani, akanambia kumbe bado hujakua, jifikirie kwanza then utanirudia.
Sasa katika D mbili nilizonazo, nna ka A ka hisabati, nikaishia kucheka tu.
Saiv nipo safari, sijamrudia.
Tupe kisa mkuuIla wanawake wengine akili zao ni fyatu sana ,mabodaboda wanapata changamoto nyingi sana kwa mishangazi ikiwabeba.
Naona unavyoandaa spana za kunikosesha pisi ili ufaidi peke yako wengine wasipate kile nachokupa..Mume wa mtu sumu pia.
Mnataka wasagane?sasa Singo Maza ni mke wa mtu kwani?
Singo maza sio mke wa mtu,Mnataka wasagane?
😂😂😂😂😂😂😂 Mkuu naona kama unanialaumu na weweHiyo A ya hisabati haina faida kwako bora tuu ungefeli😂😂😂😂
Sasa wee ulishindwaje kutumia calculus kumkula huyu mke wa mtu😂😂😂😂😂😂😂 Mkuu naona kama unanialaumu na wewe
Hahahah au aongo hao Wacha tuone kama tutaweza😂😂Kikao Na. 34 cha WANAUME kimeazimia kuwa kamwe mwanaume usifanye mapenzi na MKE wa mtu. Mke wa mtu hapa ni yule aliyeko ndoani ima ya kidini, kimila, kiserikali au hata waliojifungisha wenyewe (kwa binti kuchukua mkoba wake kuhamia kwa mwanaume). Maamuzi haya yamechukuliwa kwa kuzingatia hoja kuu Tano:
1. Idadi ya wanawake wasio ndoani ni kubwa sana duniani hivyo hakuna sababu ya kuchukua wenye waume.
2. Wanaume HALISI hawasamehe wakibaini mke alicheat;
3. Wanawake walio ndoani huwaga hawakatai wakitongozwa (reserved for future study).
4. Game ya mke wa mtu huwa ni Kali sana mithili ya fainali na hii inaongeza shida ya kiroho kwa MUME wa mwanamke huyo.
5. Mke wa Mtu sumu hata kama ghetto una maziwa.
Mjadala ulikuwa mzito ila mwenyekiti alikuwa imara na mwisho wa Kikao ikaazimiwa hivyo.
Mwisho wa Kikao.
Tupe kisa mkuu
Au waume zao hawawapiWakiwabeba mashangazi huwa wanawashika bodaboda "dudu la yuyu" ,kama boda watatu tofauti washanaimbia vitu kama hivyo w,bodaboda mmoja akapita naye fresh ila wale kama walipotezea maana kama wan gegusa tu ingekuwa imooo...wanajirahisisha sana hadi nomaaa sasa sijui labda wanataka wawe wanabebwa bure au lah.
Au waume zao hawawapi