PreGE2025 Kikao cha watia nia CHADEMA Ikungi-Singida chavunjika, vurugu zarindima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
319
Reaction score
755
Kikao cha watia nia CHADEMA kimevunjika baada ya mmoja wao kunaswa akirekodi kwa siri.

Vurugu zikaibuka, wajumbe wakarushiana viti na kushambuliana, hali iliyosababisha damu kumwagika.

Taarifa zisizo rasmi zinadai kuwa mtu mmoja amepoteza maisha. Ikungi singida.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
CCM wanajaribu kupenyeza mamluki wao ndani ya chama, lazima waumbuliwe
 
Hadi 2030 ni miaka ya kupiga hela kweli kweli kusuka michongo ya maana--- aisee nchi ishakua soko huru
 
Wale wanaotumwa na ccm kama ma informer nawashauri ni bora wajitoe wenyewe ktk harakati za chadema
ni ushauri mzuri kwao
Kwani ku record kuna shida gani? Mnaficha nini? Lisu mwenyewe anasema chama kiendeshwe kwa uwazi

Hamtaki uwazi ?
 
Kwani ku record kuna shida gani? Mnaficha nini? Lisu mwenyewe anasema chama kiendeshwe kwa uwazi

Hamtaki uwazi ?
Hata aliye-rekodi karekodi kwa kificho. Kanuni zitakuwa zimekiukwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…