evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
Hiki ni kiigizo kitakuwa kimetengenezwa na mbogamboga hawajui hata ku actMbona kama ni ka igizo tena hata hakajapangiliwa vizuri 😂😂😂😂
Hiki ni kiigizo kitakuwa kimetengenezwa na mbogamboga hawajui hata ku actMbona kama ni ka igizo tena hata hakajapangiliwa vizuri 😂😂😂😂
Eti leteni maji leteni maji, aaah amefariki 😂😂😂😂😂 kamanda kafa kama mende yaniHiki ni kiigizo kitakiwa kimetengenezwa na mbogamboga hawajui hata ku act
Ni zaidi ya futuhi hayo ndio wanayoweza uvccmKikao cha CCM waliojifanya CHADEMA kwa ajili ya kuichafua CHADEMA.
Uzuri Watanzania tunaelewa Mashetani na wanaopanga mabaya ni CCM.
Hizi Futuhi zenu mkazifanye huko huko kwa wajinga wenzenu Lumumba
Kaa Mbali na siasa
Ndo akili za chadema chakavu zilipofikia......mambumbumbu kweli haya!CCM wanajaribu kupenyeza mamluki wao ndani ya chama, lazima waumbuliwe