PreGE2025 Kikao cha watia nia CHADEMA Ikungi-Singida chavunjika, vurugu zarindima

PreGE2025 Kikao cha watia nia CHADEMA Ikungi-Singida chavunjika, vurugu zarindima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hata mi nimesikiliza na nikiwa na akili zangu timamu nimeconclude haya ni maigizo.

Kuna mistake nyingi sana kwenye hiyo video hususani ya dakika 5.
1. Inasema Ikungi lakini hawasemi ni kata au Wilaya au shina la CDM
2. Kuwepo kwa sauti chache na nyingine ha watotonwakiitikia People's Power. Je sasa chadema wanakngiza na watoto kwenye vikao vyao?
3. Kukosea na kujisahau kwa huyo msemaji "Mama tunamuimba" akajibadilisha na kusema "wanamuimba"
4. Mnenaji kusema chama chetu cha CCM akajiahtukia na kusema chadema
5. Kauli za washirika na michango ya wanachma bila kusahau eti viongozi wa dini wanatusemea kwani ni wanachama wetu.


Hii ni futuhi ambayo haijaandaliwa vizuri.

Pumbavu zao MACCM. Hawampati mtu hapa.
Imejaa ujinga
 
Sa hizo damu za kamanda zimetokea wapi jamani 🤣🤣🤣🤣 hadi kamanda kakata moto
Hilo ni buti la jeje(lakikamanda), limepasua mshipa wa damu wa kamanda...

Tunakoelekea sio kizuri, raia wako serious sana na haya mambo😂😂😂
 
Hilo ni buti la jeje(lakikamanda), limepasua mshipa wa damu wa kamanda...

Tunakoelekea sio kizuri, raia wako serious sana na haya mambo😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Buti limetua kwenye ateri au sio, nmecheka sana.
 
Sababu ya kupigwa huyo mjumbe KWA mujibu wa klipu ni kurekodi, wakati huohuo Bado zoezi la kurekodi linaendelea tena KWA Quality ileile ya video kana kwamba ni camera hiyohiyo ya aliyepigwa.

Alafu mchukua klipu ya mpigwaji akiwa chini anachukua KWA umakini haonyeshi kichwa au sura ya mpigwaji.

Ngoja tusubiri vyombo vya dola ila Hadi Sasa na kale kasauti ka mtoto mdogo kwenye clip ndefu namashaka makubwa na klipu hizi.
MaCCM hayo yanatufanya sisi wajinga. Eti kuna kikao cha CDM ambapo Mtoto anayeshiriki na kuitikia slogan ya CDM?
 
Mpango Mungu hauvunjwi na watu wachache .


Inafanyika reform Kwanza alafu ndo tunaenda kutia Nia kinyume na hapo NI ubatili.

No reform no elections
 
Kikao cha watia nia CHADEMA kimevunjika baada ya mmoja wao kunaswa akirekodi kwa siri.

Vurugu zikaibuka, wajumbe wakarushiana viti na kushambuliana, hali iliyosababisha damu kumwagika.

Taarifa zisizo rasmi zinadai kuwa mtu mmoja amepoteza maisha. Ikungi singida.

View attachment 3330160
View attachment 3330162
mbwa kala mbwa dah,

vikao vya janjawidi havirekodiwagi inamaana kamanda hajui? :putinWalk:
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kwahiyo hicho ni nini😂😂😂.
Au ulipoondoka wakaigiza?
Hivi kuna mazezeta sana singida huko eenh.
Mkiambiwa drama mnabisha.
mpaka mama yao anashangaa mbona vijana wanajituma sana ,mpaka wanaharibu sasa
okei.PNG
 
Back
Top Bottom