NO REFORMS NO ELECTION ni azimio la mkutano mkuu la chama hivyo mkutano mkuu ukishapitisha agenda kwa pamoja inabidi kufuatwa na kutekelezwa kama ilivyo kuwa kwenye ule mkutano mkuu wa CCM ambao mama aliamua kujipitisha mwenyewe kuwa mgombea mkuu wa urais. Sasa wewe nenda na Mawazo mbadala kumpinga Samia halafu UONE nini kitakukuta kutoka kwa wenzako wa CCM!Ruhusuni mawazo mbadala