Hiyo Video haijitoshelezi imeongezewa tetesi.Mwambie mwenyekiti poti kwake watu wanatoana roho.
Kumbe hata nyumbani kwake kuna watu wanapinga no reform No erection!!
ni wagombea wa chama gani vile,maana chadema wanasubiri reform kwanza!Kikao cha watia nia CHADEMA kimevunjika baada ya mmoja wao kunaswa akirekodi kwa siri.
Vurugu zikaibuka, wajumbe wakarushiana viti na kushambuliana, hali iliyosababisha damu kumwagika.
Taarifa zisizo rasmi zinadai kuwa mtu mmoja amepoteza maisha. Ikungi singida.
View attachment 3330160
View attachment 3330162
Basi subiri watu watenguane nyonga kwanza ndo ukubaliHiyo Video haijitoshelezi imeongezewa tetesi.
Hata mi nimesikiliza na nikiwa na akili zangu timamu nimeconclude haya ni maigizo.Mbona kama ni ka igizo tena hata hakajapangiliwa vizuri 😂😂😂😂
Hakuna kama hilo. Hili ni igizo la manyangau ya kijani mkuu.CCM wanajaribu kupenyeza mamluki wao ndani ya chama, lazima waumbuliwe
Bo election. Fuk ssemMpaka oktoba kazi ipo--- no reforms -
Uongo huu. Igizo limefeli hili.Basi subiri watu watenguane nyonga kwanza ndo ukubali
Hizo ni tetesi tu kwasababu hiyo clip hajitoshelezi.Basi subiri watu watenguane nyonga kwanza ndo ukubali
Chama gani? Ngazi ipi ya chama iliyofanya hiko kikao? Je kuna mwanacdm anajichanganya na kutaja tunamuimba Mama au kusema chama chetu cha CCM?Kanuni gani wakati hicho kikao ni cha chama
Mnaficha nini? Mlikuwa mnapanga ugaidi au?
Mmefeli na hili igizo we jamaa. 😁😁😁Mwambie mwenyekiti poti kwake watu wanatoana roho.
Kumbe hata nyumbani kwake kuna watu wanapinga no reform No erection!!
Dadeki baada ya hapo tungesikia press na mavyombo kibao. Mungu amewaumbua wasaliti. Kongole kwa aliyerecord.Kikao cha watia nia CHADEMA kimevunjika baada ya mmoja wao kunaswa akirekodi kwa siri.
Vurugu zikaibuka, wajumbe wakarushiana viti na kushambuliana, hali iliyosababisha damu kumwagika.
Taarifa zisizo rasmi zinadai kuwa mtu mmoja amepoteza maisha. Ikungi singida.
View attachment 3330160
View attachment 3330162
Ni Ikungi kweli hii...au ni propaganda? Mbona hatutajiwi majina na exact location na muda jambo hili limetokea?Hiki chama kimeshakuwa kikundi cha mungiki.
Kabisa. Wanafikiri watu wote wajinga kama wao...!Mbona kama ni ka igizo tena hata hakajapangiliwa vizuri 😂😂😂😂
Hawa mamluki chadema walishaenguliwa kushiriki uchaguziKikao cha watia nia CHADEMA kimevunjika baada ya mmoja wao kunaswa akirekodi kwa siri.
Vurugu zikaibuka, wajumbe wakarushiana viti na kushambuliana, hali iliyosababisha damu kumwagika.
Taarifa zisizo rasmi zinadai kuwa mtu mmoja amepoteza maisha. Ikungi singida.
View attachment 3330160
View attachment 3330162
Hiyo…sijui NOO sijui NINI hiyo, walikosea sana. Mwaka huu, CCM ilikuwa kwenye hali ngumu sana, lakini jamaa wamejidhoofisha wenyewe!Hao ni wasaliti wanavuna walichokipanda kwa maana msimamo wa chama ni NO REFORMS NO ELECTION.
Kutoka matusi Hadi kuuwanaKikao cha watia nia CHADEMA kimevunjika baada ya mmoja wao kunaswa akirekodi kwa siri.