NO REFORMS NO ELECTION ni azimio la mkutano mkuu la chama hivyo mkutano mkuu ukishapitisha agenda kwa pamoja inabidi kufuatwa na kutekelezwa kama ilivyo kuwa kwenye ule mkutano mkuu wa CCM ambao mama aliamua kujipitisha mwenyewe kuwa mgombea mkuu wa urais. Sasa wewe nenda na Mawazo mbadala kumpinga Samia halafu UONE nini kitakukuta kutoka kwa wenzako wa CCM!Ruhusuni mawazo mbadala
Kanuni gani wakati hicho kikao ni cha chamaHata aliye-rekodi karekodi kwa kificho. Kanuni zitakuwa zimekiukwa tu
Kamanda anaerekodi alikua mbele mara paap anakimbilia huku nyuma ambako napo kuna mtu anarekodi anadakwa mara shwaaa damu hizo kamanda kakata moto π€£π€£π€£π€£π€£π€£ inachekesha sanaMaigizo ya kitoto sana. Wanapoteza muda bure.
Kwa hiyo na nyie mumegeuka kuwa CCM B kuiga yanayofanywa na CCM? Mnajiitaje chama cha upinzani wakati mna copy na ku paste ya CCM si mvunje Chadema mjiunge na CCM tuNO REFORMS NO ELECTION ni azimio la mkutano mkuu la chama hivyo mkutano mkuu ukishapitisha agenda kwa pamoja inabidi kufuatwa na kutekelezwa kama ilivyo kuwa kwenye ule mkutano mkuu wa CCM ambao mama aliamua kujipitisha mwenyewe kuwa mgombea mkuu wa urais. Sasa wewe nenda na Mawazo mbadala kumpinga Samia halafu UONE nini kitakukuta kutoka kwa wenzako wa CCM!
"Mnapanga" kina nani?Kanuni gani wakati hicho kikao ni cha chama
Mnaficha nini? Mlikuwa mnapanga ugaidi au?
Hiki kikao kilikuwa cha CCM waliovalishwa nguo cha Chadema ili kuichafua Chadema. Waliyemshughulikia ni aliyekuwa anakurupua nia zao ovu.Sawa mainforma ya ccm lazima wachapike sana tu kikao cha siri unarekodi ili iweze sasa , hata hao ccm wenyewe kwenye vikao vyao vya siri ukitoa siri inje basi wewe kuliona jua usahau hayo ndo madhara ya kutumia pasipo na wewe kutumia akili yako
Kwa hiyo huwa mnajifanya watetezi wa Sheria kwa nini mlijichukulia sheria mkononi na kumwadhibu?Kikao cha CCM waliojifanya CHADEMA kwa ajili ya kuichafua CHADEMA.
Uzuri Watanzania tunaelewa Mashetani na wanaopanga mabaya ni CCM.
Hizi Futuhi zenu mkazifanye huko huko kwa wajinga wenzenu Lumumba
Mnapotaka kuigiza, tafuteni waigizaji wazuri na waongozaji mahiri.Kanuni gani wakati hicho kikao ni cha chama
Mnaficha nini? Mlikuwa mnapanga ugaidi au?
Wa Ikungi kule nyumbani kwa mwenyekiti aliyeswekwa lupango.Watia nia wa wapi tena?
Mwambie mwenyekiti poti kwake watu wanatoana roho.Mbona hatuoni akipoteza fahamu.
We Eva, igizo na damu zimeruka πππ au ni tomato hizo.Mbona kama ni ka igizo tena hata hakajapangiliwa vizuri ππππ