PreGE2025 Kikao cha watia nia CHADEMA Ikungi-Singida chavunjika, vurugu zarindima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Imejaa ujinga
 
Sa hizo damu za kamanda zimetokea wapi jamani 🀣🀣🀣🀣 hadi kamanda kakata moto
Hilo ni buti la jeje(lakikamanda), limepasua mshipa wa damu wa kamanda...

Tunakoelekea sio kizuri, raia wako serious sana na haya mamboπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hilo ni buti la jeje(lakikamanda), limepasua mshipa wa damu wa kamanda...

Tunakoelekea sio kizuri, raia wako serious sana na haya mamboπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Buti limetua kwenye ateri au sio, nmecheka sana.
 
MaCCM hayo yanatufanya sisi wajinga. Eti kuna kikao cha CDM ambapo Mtoto anayeshiriki na kuitikia slogan ya CDM?
 
Mpango Mungu hauvunjwi na watu wachache .


Inafanyika reform Kwanza alafu ndo tunaenda kutia Nia kinyume na hapo NI ubatili.

No reform no elections
 
mbwa kala mbwa dah,

vikao vya janjawidi havirekodiwagi inamaana kamanda hajui?
 
Reactions: Tui
Kwahiyo hicho ni niniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Au ulipoondoka wakaigiza?
Hivi kuna mazezeta sana singida huko eenh.
Mkiambiwa drama mnabisha.
mpaka mama yao anashangaa mbona vijana wanajituma sana ,mpaka wanaharibu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…