evangelical JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 5,989 Reaction score 9,948 May 10, 2025 #81 Evelyn Salt said: Mbona kama ni ka igizo tena hata hakajapangiliwa vizuri ππππ Click to expand... Hiki ni kiigizo kitakuwa kimetengenezwa na mbogamboga hawajui hata ku act
Evelyn Salt said: Mbona kama ni ka igizo tena hata hakajapangiliwa vizuri ππππ Click to expand... Hiki ni kiigizo kitakuwa kimetengenezwa na mbogamboga hawajui hata ku act
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,768 Reaction score 172,128 May 10, 2025 #82 evangelical said: Hiki ni kiigizo kitakiwa kimetengenezwa na mbogamboga hawajui hata ku act Click to expand... Eti leteni maji leteni maji, aaah amefariki πππππ kamanda kafa kama mende yani
evangelical said: Hiki ni kiigizo kitakiwa kimetengenezwa na mbogamboga hawajui hata ku act Click to expand... Eti leteni maji leteni maji, aaah amefariki πππππ kamanda kafa kama mende yani
evangelical JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 5,989 Reaction score 9,948 May 10, 2025 #83 Lord denning said: Kikao cha CCM waliojifanya CHADEMA kwa ajili ya kuichafua CHADEMA. Uzuri Watanzania tunaelewa Mashetani na wanaopanga mabaya ni CCM. Hizi Futuhi zenu mkazifanye huko huko kwa wajinga wenzenu Lumumba Click to expand... Ni zaidi ya futuhi hayo ndio wanayoweza uvccm
Lord denning said: Kikao cha CCM waliojifanya CHADEMA kwa ajili ya kuichafua CHADEMA. Uzuri Watanzania tunaelewa Mashetani na wanaopanga mabaya ni CCM. Hizi Futuhi zenu mkazifanye huko huko kwa wajinga wenzenu Lumumba Click to expand... Ni zaidi ya futuhi hayo ndio wanayoweza uvccm
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,495 Reaction score 185,562 May 11, 2025 #84 Smart911 said: Yagangwe yajayo... Cc: Mahondaw Click to expand... Kaa Mbali na siasa
D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 6,479 Reaction score 4,974 May 11, 2025 #85 KING MIDAS said: CCM wanajaribu kupenyeza mamluki wao ndani ya chama, lazima waumbuliwe Click to expand... Ndo akili za chadema chakavu zilipofikia......mambumbumbu kweli haya!
KING MIDAS said: CCM wanajaribu kupenyeza mamluki wao ndani ya chama, lazima waumbuliwe Click to expand... Ndo akili za chadema chakavu zilipofikia......mambumbumbu kweli haya!