Kikao kizito cha dharura cha bodi ya simba kinaendelea muda huu

Kikao kizito cha dharura cha bodi ya simba kinaendelea muda huu

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Maduka yanayotembea yenye miguu miwili yajiandae, story zenu za mpira una matokeo matatu kasimulieni wake zenu na marehemu bibi zenu, nyambafu

Screen Shot 2021-10-25 at 13.47.30.png
 
Hicho kikao kije na maazimio kitakayowafanya wale wachezaji wajue majukumu yao kwa timu, ufaza hautakiwi kuwepo Simba wajue mapema ukizingua unazinguliwa, kwa ule ujinga wa jana walichofanya hauvumiliki, hauelezeki, ni upuuzi wa kutupwa jalalani.
 
Maduka yanayotembea yenye miguu miwili yajiandae ,story zenu za mpira una matokeo matatu kasimulieni wake zenu na marehemu bibi zenu, nyambafu

View attachment 1986405
Kwa aliyefuatilia pre-season ya Simba, Simba day, na mechi mbili za ligi hatashangazwa na matokeo ya jana. Hao wanaotuhumiwa kuuza game ni uwongo tu, Simba ikubali ukweli kikosi kimefikia ukomo na baadhi ya wachezaji hapo ndio mwisho wao. Timu inahitaji kusukwa upya, na mpaka upate kikosi kingine bora itachukuwa muda, corona nayo imeisha hakuna hata cha kusingizia wachezaji wa timu pinzani ili wasicheze.
 
Kwa aliyefuatilia pre-season ya Simba, Simba day, na mechi mbili za ligi hatashangazwa na matokeo ya jana. Hao wanaotuhumiwa kuuza game ni uwongo tu, Simba ikubali ukweli kikosi kimefikia ukomo na baadhi ya wachezaji hapo ndio mwisho wao. Timu inahitaji kusukwa upya, na mpaka upate kikosi kingine bora itachukuwa muda, corona nayo imeisha hakuna hata cha kusingizia wa timu pinzani ili wasicheze.
Ulianza vzur ila mwisho kusema simba ilikua inashinda kisa corona ni maneno ya kishabik tu,ulichoongea ni kwel simba wachezaji wengi wamechoka kama sio kwa umr bas kutumika sana kibaya zaid viongozi wakafanya utan ktk usajil wamesajil wachezaji wengi ambao sio moja kwa moja wanaingia kikosi cha kwanza na ata ivyo miaka yote simba inafanya vzur lkn walikua na matatzo karbu sehem zote kuanzia nyuma ad mbele nilitegemea mechi ile na wasauth iwe somo zur ktk usajili lkn wamezembea simba mara nyng wabovu wakiwa wanashambuliwa sana sana mipira ya juu ukiwapelekea mashambuliz meng kwa kupitia pemben au katkat unawafunga ,na wao bado wana matatzo ya kufunga wanatengeneza nafas nyng ata timu wakiizd vp wataishia gol nne tu sio wazur wa kushambulia na kutumia nafas pamoja na uzembe wa wachezaji na kocha wao ila mm naona matatzo makubwa wameyataka viongozi hawakusajil kwa kuangalia shida yao ilipo
 
Hicho kikao kije na maazimio kitakayowafanya wale wachezaji wajue majukumu yao kwa timu, ufaza hautakiwi kuwepo Simba wajue mapema ukizingua unazinguliwa, kwa ule ujinga wa jana walichofanya hauvumiliki, hauelezeki, ni upuuzi wa kutupwa jalalani.
Uwezo huo wanao Yanga tu, huwa tunafukuza timu nzima na kuanza upya.

George Mpondela alipokuwa mwenyekiti tulifukuza timu nzima na kusajili upya na kuwapandisha Yanga B kina Anwar Awadhi, Mzee Abdalah na wengineo ndio tukawaongezea wageni kina Constantine Kimanda na Shaaban Nonda Papii.

Yanga huwa hakuna kuremba tunapoamuwa kufanya maamuzi magumu.
 
Uwezo mdogo halafu mnatafuta mchawi ni nani. Kocha mwenyewe shule hana mnategenea nini. Mmeuza wachezaji wazuri mmenunua watoto kama replacement halafu mnategemea matokeo mazuri
 
Kwenye game kama ile ya Jana nilijikuta namkumbuka sana Luis Mickson, Dogo alikuwa anajituma sana. Pengo lake limeathiri sana hii timu.

Kocha wa Galax alisema anawashukuru sana watu wa Yanga walioenda kwenye Hotel waliyofikia na kuwasaidia mbinu na uchawi uliowasaidia kupata ushindi wa jana. Hivyo waliohusika kuwahujumu Simba ni watanzania wenzetu.
 
Mashabiki wa Simba ni Mbumbumbu,viongozi wenu wanawachezea akili na nyie mnakubali. Kila mara linapotokea jambo zito viongozi wakiongozwa na Mwamedi na Magori hutoa kauli za timu kuhujumiwa ili kuwapumbaza mashabiki na nyie mnaingia king kuwasapoti. Mpira unachezwa hadharani sio mafichoni,waandishi wa habari na waachambuzi wa mpira walipokuwa wakisema kuwa Simba hii haiko sawa Viongozi wa Simba walitoa kauli za kuwaambia msisikilize uzushi eti hao waandishi wana lao jambo na wanaionea wivu Simba kwa hatua kubwa mliyopiga.

Leo hii wanajifanya kukaa kikao ili watoke na tamko la kuwapumbaza na nyie mtakubaliana nao. Ujinga kama huu ingekuwa ni Yanga usingekubali na muda mrefu ingekuwa kishanuka tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa aliyefuatilia pre-season ya Simba, Simba day, na mechi mbili za ligi hatashangazwa na matokeo ya jana. Hao wanaotuhumiwa kuuza game ni uwongo tu, Simba ikubali ukweli kikosi kimefikia ukomo na baadhi ya wachezaji hapo ndio mwisho wao. Timu inahitaji kusukwa upya, na mpaka upate kikosi kingine bora itachukuwa muda, corona nayo imeisha hakuna hata cha kusingizia wa timu pinzani ili wasicheze.
Viongozi wa Simba washajua mashabiki yao ni Mambumbumbu ndio maana kila wakifungwa au kufanya vibaya huja na usanii wa kuhujumiwa,tumeona hili kwenye match ya Biashara na hata ile ya Dodoma Jiji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwezo huo wanao Yanga tu, huwa tunafukuza timu nzima na kuanza upya.

George Mpondela alipokuwa mwenyekiti tulifukuza timu nzima na kusajili upya na kuwapandisha Yanga B kina Anwar Awadhi, Mzee Abdalah na wengineo ndio tukawaongezea wageni kina Constantine Kimanda na Shaaban Nonda Papii.

Yanga huwa hakuna kuremba tunapoamuwa kufanya maamuzi magumu.
Huu ndio ukweli mchungu ambao hata Wanasimba wenyewe wanaufahamu,Wanachama na Mashabiki wa Yanga sisi ni waelewa,wavumilivu sana na tunafikiria vitu kwa upana na uhalisa sio maneno maneno ya usanii ya Viongozi,mfano tumekaa miaka 4 bila kombe la Ligi Kuu lakini tunajua hali halisi ya timu yetu ilivyokuwa hasa Kiuchumi na hujuma kutoka kwa wakina Bashite na genge lake ovu. Ndio maana tumekaa kimya tulikubali matokeo na wala hatujawatupia lawama Viongozi wetu,na tumekuwa bega kwa bega na Viongozi wetu kwenye kipindi kigumu tulichopitia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye game kama ile ya Jana nilijikuta namkumbuka sana Luis Mickson, Dogo alikuwa anajituma sana. Pengo lake limeathiri sana hii timu.

Kocha wa Galax alisema anawashukuru sana watu wa Yanga walioenda kwenye Hotel waliyofikia na kuwasaidia mbinu na uchawi uliowasaidia kupata ushindi wa jana. Hivyo waliohusika kuwahujumu Simba ni watanzania wenzetu.
Kutesa kwa zamu,wakati ule tunahujumiwa hadharani na wakina Bashite na genge lao mlikuwa mnafurahi sana na mpaka mkafikia kukufuru eti mtachukua Ubingwa back to back miaka yote Kayafa atakayokuwa Madarakani. Sasa Mungu sio Mwamedi wala Hans Pope wala Karia, Kayafa kala udongo mapema sana,sasa jiandaeni kwa maumivu na kutafutana uchawi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Litimu libovu ndio unaliwekea kikao

This is football my brother

Biashara ndio walitakiwa kuweka kikao na kutimua viongozi wote ila sio Simba.

Mpira Mbovu we ulishaona wapi mtu anakanyaga mpira na kusimama juu kwenye game ambayo timu zipo 0-0 huu utani wa wachezaji wazee.

Angalia umri was wachezaji wa Simba
Onyango 40
Wawa 35
Boko 40
Kagere 40
Kapombe 35
Nyoni 40
Mkude 38
Mzamilu 38
Mwamedi 32
Dilunga 30
Morisson 35
Mugalu 38
Kennedy 34

Kama unafukuza hapo unabaki na rwangwa, manula, Na wale watoto na Yule Baki mkongo basi.
 
Kutesa kwa zamu,wakati ule tunahujumiwa hadharani na wakina Bashite na genge lao mlikuwa mnafurahi sana na mpaka mkafikia kukufuru eti mtachukua Ubingwa back to back miaka yote Kayafa atakayokuwa Madarakani. Sasa Mungu sio Mwamedi wala Hans Pope wala Karia, Kayafa kala udongo mapema sana,sasa jiandaeni kwa maumivu na kutafutana uchawi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie wanayanga kumbukeni Simba ndio inayofanya mpate nafasi ya Kupanda Ndege na kwenda kutia aibu ugenini na Kupiga wageni mingumi.

Sasa kwa taarifa yenu mwakani kimataifa itaenda Simba na Polisi Tanzania
 
Kwenye game kama ile ya Jana nilijikuta namkumbuka sana Luis Mickson, Dogo alikuwa anajituma sana. Pengo lake limeathiri sana hii timu.

Kocha wa Galax alisema anawashukuru sana watu wa Yanga walioenda kwenye Hotel waliyofikia na kuwasaidia mbinu na uchawi uliowasaidia kupata ushindi wa jana. Hivyo waliohusika kuwahujumu Simba ni watanzania wenzetu.
Huu ujinga mhadithie mkeo.
 
Mwamedi ni janjajanja sana, mbinu aliyoitumia miaka 4 iliyopita kabla hajapewa greenlight kwenye uwekezaji ndio ile wakurugwa huitumia tunapomtaka demu mpya ie vizawadi, outing etc ila ukimpata kila kitu kinakauka🤣🤣
 
Viongozi wa Simba washajua mashabiki yao ni Mambumbumbu ndio maana kila wakifungwa au kufanya vibaya huja na usanii wa kuhujumiwa,tumeona hili kwenye match ya Biashara na hata ile ya Dodoma Jiji.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna mashabiki mbumbumbu nchi hii kama wa Uto. Miaka 3 mfululizo kila wakifungwa kazi kuisingizia TFF na CAS, yaani full upuuzi
 
Wakae hivyo vikao ila kamwe haviwezi kuwasaidia bila kujua chanzo cha tstizo ni hao hao viongozi wenyewe kushindwa kusimamia timu ipasavyo.Mechi ya jana tulizidiwa mbinu nasio kiwango cha uchezaji.Timu ilikua inaongoza goli 3 kwa bila hadi nusu ya kwanza ya mchezo.Lilichotakiwa kipindi cha pili ni mwalimu kuja na mbinu zakulinda ushindi sio kuaribu tena muunganiko wa timu.Tuache kulaumu wachezaji kwasababu hawa hawa ndio walioshinda mechi ya botswana na kama wangeshinda jana tungeendelea nao hawa hawa.Kingine hii timu iachane na ndoto za kijinga zakujifanya kwa Mkapa hatoki mtu.Uku kujiamini ndiko kunakopelekea timu haichezi kwa spirit ya ushindani inapocheza viwanja vingine kwasababu tu wanawaza kuna mechi watacheza kwa mkapa.matokeo yake wanacheza kwa kiburi na kurelax kuanzia wachezaji viongoz hadi benchi la ufundi.
 
Back
Top Bottom