Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Kwa mazungumzo yako.....Ulianza vzur ila mwisho kusema simba ilikua inashinda kisa corona ni maneno ya kishabik tu,ulichoongea ni kwel simba wachezaji wengi wamechoka kama sio kwa umr bas kutumika sana kibaya zaid viongozi wakafanya utan ktk usajil wamesajil wachezaji wengi ambao sio moja kwa moja wanaingia kikosi cha kwanza na ata ivyo miaka yote simba inafanya vzur lkn walikua na matatzo karbu sehem zote kuanzia nyuma ad mbele nilitegemea mechi ile na wasauth iwe somo zur ktk usajili lkn wamezembea simba mara nyng wabovu wakiwa wanashambuliwa sana sana mipira ya juu ukiwapelekea mashambuliz meng kwa kupitia pemben au katkat unawafunga ,na wao bado wana matatzo ya kufunga wanatengeneza nafas nyng ata timu wakiizd vp wataishia gol nne tu sio wazur wa kushambulia na kutumia nafas pamoja na uzembe wa wachezaji na kocha wao ila mm naona matatzo makubwa wameyataka viongozi hawakusajil kwa kuangalia shida yao ilipo
Team nzima ilikuwa ni mbovu na ilitakiwa ifumuliwe ije mpya......
Kwa dirisha moja la usajili, sijui uliwahi ona wapi kitu kama hicho......
Nitajie tatizo lililokuwepo msimu uliopita hawakudhamiria kulitatua.....