Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo timu imekufaTatizo lipo kwenye namba 8 na 10😂
Hili ni jukwaa la michezo sio la siasa, nahisi umechanganya mambo hapa.Huu ndio ukweli mchungu ambao hata Wanasimba wenyewe wanaufahamu,Wanachama na Mashabiki wa Yanga sisi ni waelewa,wavumilivu sana na tunafikiria vitu kwa upana na uhalisa sio maneno maneno ya usanii ya Viongozi,mfano tumekaa miaka 4 bila kombe la Ligi Kuu lakini tunajua hali halisi ya timu yetu ilivyokuwa hasa Kiuchumi na hujuma kutoka kwa wakina Bashite na genge lake ovu. Ndio maana tumekaa kimya tulikubali matokeo na wala hatujawatupia lawama Viongozi wetu,na tumekuwa bega kwa bega na Viongozi wetu kwenye kipindi kigumu tulichopitia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka hiyo hakuna ushindani kwenye ligi, siku hizi mnasajili hovyo kila msimu na ubingwa mnausikia tu kwa majirani mwaka wa nne huu.Uwezo huo wanao Yanga tu, huwa tunafukuza timu nzima na kuanza upya.
George Mpondela alipokuwa mwenyekiti tulifukuza timu nzima na kusajili upya na kuwapandisha Yanga B kina Anwar Awadhi, Mzee Abdalah na wengineo ndio tukawaongezea wageni kina Constantine Kimanda na Shaaban Nonda Papii.
Yanga huwa hakuna kuremba tunapoamuwa kufanya maamuzi magumu.
Asilimia 90% ya wachezaji walosajiliwa ni wakawaidaKitu ambacho mbumbumbu fc wengi hawafahamu. Wachezaji wazuri waliuzwa kwakua MO alishaweka mzigo, maana yake MO na Simba wanagawana faida.
Mshauri wa MO na Barbara ndugu Magori akaenda kununua wachezaji wakuokoteza alafu timu ikawa inafichwa ili mashabiki wasistuke. Mara Morocco mara Arusha Wao walikua wanahisi timu itaunga mapema.
Siku ya Simba day, Mechi na Yanga wenyeakili wakawa wamesha stuka kuwa Simba hakuna timu.
Ikawa kila watu wakiongea, Magori anakanusha na kudai timu iko vizuri.
Sasa Ligi ya NBC imeanza na Ligi ya Mabingwa inachezwa na Simba imeonekana.
Upepo umepuliza nyeti za kuku zinaonekana. Viongizi wa Simba Kwasasa wanataka kujificha katika kivuli Cha kuhujumiwa. Muda aujawahi kuongopa.
Unafikiri kwa kutumia nini?Kwenye game kama ile ya Jana nilijikuta namkumbuka sana Luis Mickson, Dogo alikuwa anajituma sana. Pengo lake limeathiri sana hii timu.
Kocha wa Galax alisema anawashukuru sana watu wa Yanga walioenda kwenye Hotel waliyofikia na kuwasaidia mbinu na uchawi uliowasaidia kupata ushindi wa jana. Hivyo waliohusika kuwahujumu Simba ni watanzania wenzetu.
Umeandika kama ulikua akilini mwangu.......huu ndio ukweli na ukwel haupigwi Rungu.....Ulianza vzur ila mwisho kusema simba ilikua inashinda kisa corona ni maneno ya kishabik tu,ulichoongea ni kwel simba wachezaji wengi wamechoka kama sio kwa umr bas kutumika sana kibaya zaid viongozi wakafanya utan ktk usajil wamesajil wachezaji wengi ambao sio moja kwa moja wanaingia kikosi cha kwanza na ata ivyo miaka yote simba inafanya vzur lkn walikua na matatzo karbu sehem zote kuanzia nyuma ad mbele nilitegemea mechi ile na wasauth iwe somo zur ktk usajili lkn wamezembea simba mara nyng wabovu wakiwa wanashambuliwa sana sana mipira ya juu ukiwapelekea mashambuliz meng kwa kupitia pemben au katkat unawafunga ,na wao bado wana matatzo ya kufunga wanatengeneza nafas nyng ata timu wakiizd vp wataishia gol nne tu sio wazur wa kushambulia na kutumia nafas pamoja na uzembe wa wachezaji na kocha wao ila mm naona matatzo makubwa wameyataka viongozi hawakusajil kwa kuangalia shida yao ilipo
Litimu libovu ndio unaliwekea kikao
This is football my brother
Biashara ndio walitakiwa kuweka kikao na kutimua viongozi wote ila sio Simba.
Mpira Mbovu we ulishaona wapi mtu anakanyaga mpira na kusimama juu kwenye game ambayo timu zipo 0-0 huu utani wa wachezaji wazee.
Angalia umri was wachezaji wa Simba
Onyango 40
Wawa 35
Boko 40
Kagere 40
Kapombe 35
Nyoni 40
Mkude 38
Mzamilu 38
Mwamedi 32
Dilunga 30
Morisson 35
Mugalu 38
Kennedy 34
Kama unafukuza hapo unabaki na rwangwa, manula, Na wale watoto na Yule Baki mkongo basi.
Makolokolo wanadhani haki ya KUSHINDA ni yao tu? Wapuuzi nini..Kwa aliyefuatilia pre-season ya Simba, Simba day, na mechi mbili za ligi hatashangazwa na matokeo ya jana. Hao wanaotuhumiwa kuuza game ni uwongo tu, Simba ikubali ukweli kikosi kimefikia ukomo na baadhi ya wachezaji hapo ndio mwisho wao. Timu inahitaji kusukwa upya, na mpaka upate kikosi kingine bora itachukuwa muda, corona nayo imeisha hakuna hata cha kusingizia wa timu pinzani ili wasicheze.
Kama yanga wanauchawi walishindwa vipi kuutumia dhidi ya mechi ya rivers United wakapigwa nje ndani, wewe mbumbumbu kuwa na akili basi, yaani kila anaposhindwa Simba lazima mmuhusishe Mme wenu YangaKwenye game kama ile ya Jana nilijikuta namkumbuka sana Luis Mickson, Dogo alikuwa anajituma sana. Pengo lake limeathiri sana hii timu.
Kocha wa Galax alisema anawashukuru sana watu wa Yanga walioenda kwenye Hotel waliyofikia na kuwasaidia mbinu na uchawi uliowasaidia kupata ushindi wa jana. Hivyo waliohusika kuwahujumu Simba ni watanzania wenzetu.
Subiri msimu huu uishe ndio utajua kuwa hujui.Nyie wanayanga kumbukeni Simba ndio inayofanya mpate nafasi ya Kupanda Ndege na kwenda kutia aibu ugenini na Kupiga wageni mingumi.
Sasa kwa taarifa yenu mwakani kimataifa itaenda Simba na Polisi Tanzania
Na hao wazee wakatwaa makombe yote mbele yenu last season ninyi ni vijana hopeless kabisa bila shakaLitimu libovu ndio unaliwekea kikao
This is football my brother
Biashara ndio walitakiwa kuweka kikao na kutimua viongozi wote ila sio Simba.
Mpira Mbovu we ulishaona wapi mtu anakanyaga mpira na kusimama juu kwenye game ambayo timu zipo 0-0 huu utani wa wachezaji wazee.
Angalia umri was wachezaji wa Simba
Onyango 40
Wawa 35
Boko 40
Kagere 40
Kapombe 35
Nyoni 40
Mkude 38
Mzamilu 38
Mwamedi 32
Dilunga 30
Morisson 35
Mugalu 38
Kennedy 34
Kama unafukuza hapo unabaki na rwangwa, manula, Na wale watoto na Yule Baki mkongo basi.
Unamaanisha Man City kuzidiwa point 2 na Chelsea basi Man City ni kibonde kwenye ligi kama sio ujinga ni nini kaka?Kitu ambacho mbumbumbu fc wengi hawafahamu. Wachezaji wazuri waliuzwa kwakua MO alishaweka mzigo, maana yake MO na Simba wanagawana faida.
Mshauri wa MO na Barbara ndugu Magori akaenda kununua wachezaji wakuokoteza alafu timu ikawa inafichwa ili mashabiki wasistuke. Mara Morocco mara Arusha Wao walikua wanahisi timu itaunga mapema.
Siku ya Simba day, Mechi na Yanga wenyeakili wakawa wamesha stuka kuwa Simba hakuna timu.
Ikawa kila watu wakiongea, Magori anakanusha na kudai timu iko vizuri.
Sasa Ligi ya NBC imeanza na Ligi ya Mabingwa inachezwa na Simba imeonekana.
Upepo umepuliza nyeti za kuku zinaonekana. Viongizi wa Simba Kwasasa wanataka kujificha katika kivuli Cha kuhujumiwa. Muda aujawahi kuongopa.
Ukiongelea habari za kina George Castro Mpondela Ni wachache waliokuwepo kipindi hicho. Yanga ilikuwa Ni Yanga kwelikweli, Simba kila akitia mguu analiwa kichwa. Nakumbuka ktk kikosi alibakizwa Ken Mkapa, wengine walifurushwa wakiwemo kina Edibly Lunyamila, Mohamed Husein (Mmachinga), Said Mwamba Nasoro Kizota, Willy Mtendawema, Sanifu Lazaro Tingisha, Stephen Nemes na wengine. Chama likaundwa upyaikiwajumuisha Yosso km Sadiq Kalokola, Anuar Awadh, Privatus Ibrahim(Police), James Tungaraza (bolizozo), Salvatory Edward, Sekilojo Chambua, Nonda Shabaan, Bakari Malima (Jembe Ulaya) na wengineo, mechi ya kwanza tu na mnyama kafa alikufa. Kwa hiyo sisi Yanga haya mambo ya kufumua kikosi na kuanza upya Wala haitusumbui na wachezaji wenyewe wanatujua vizuri kuwa hatunaga muda wakubembelezana. Ila kwa Simba sidhani Kama itakuja kutokea.Uwezo huo wanao Yanga tu, huwa tunafukuza timu nzima na kuanza upya.
George Mpondela alipokuwa mwenyekiti tulifukuza timu nzima na kusajili upya na kuwapandisha Yanga B kina Anwar Awadhi, Mzee Abdalah na wengineo ndio tukawaongezea wageni kina Constantine Kimanda na Shaaban Nonda Papii.
Yanga huwa hakuna kuremba tunapoamuwa kufanya maamuzi magumu.
Kocha hajiwezi. Mechi zaidi ya kumi, uchezaji ni uleule. Ana wachezaji kibao, ila kila siku anang'ang'ania hao hao. Kifupi, alitembelea nyota ya kishingo. Na anataka kuendelea na mbinu zilezile wakati wenzake wanabadili mbinu kila kukicha. Akatafute vyeti kwanza.Kwa aliyefuatilia pre-season ya Simba, Simba day, na mechi mbili za ligi hatashangazwa na matokeo ya jana. Hao wanaotuhumiwa kuuza game ni uwongo tu, Simba ikubali ukweli kikosi kimefikia ukomo na baadhi ya wachezaji hapo ndio mwisho wao. Timu inahitaji kusukwa upya, na mpaka upate kikosi kingine bora itachukuwa muda, corona nayo imeisha hakuna hata cha kusingizia wa timu pinzani ili wasicheze.
....akikujibu kwenye hili naomba ni-tag mwananchi mwenzangu..,😊😊😊Ya kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu mara nyingi zaidi kuliko,kuwa timu ya kwanza kufika robo final Klabu Bingwa Africa,kukufunga wewe Mbumbumbu matches nyingi na magoli mengi,kuchukua makombe mengi nje ya nchi kuliko club yoyote Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app