Kikao kizito cha dharura cha bodi ya simba kinaendelea muda huu

Yale magoli mawili ya mwanzo, hasa lile la pili safu nzima ya ulinzi inabidi ijitafakari.
 
Hili ni jukwaa la michezo sio la siasa, nahisi umechanganya mambo hapa.
 
Miaka hiyo hakuna ushindani kwenye ligi, siku hizi mnasajili hovyo kila msimu na ubingwa mnausikia tu kwa majirani mwaka wa nne huu.
 
Kitu ambacho mbumbumbu fc wengi hawafahamu. Wachezaji wazuri waliuzwa kwakua MO alishaweka mzigo, maana yake MO na Simba wanagawana faida.

Mshauri wa MO na Barbara ndugu Magori akaenda kununua wachezaji wakuokoteza alafu timu ikawa inafichwa ili mashabiki wasistuke. Mara Morocco mara Arusha Wao walikua wanahisi timu itaunga mapema.
Siku ya Simba day, Mechi na Yanga wenyeakili wakawa wamesha stuka kuwa Simba hakuna timu.
Ikawa kila watu wakiongea, Magori anakanusha na kudai timu iko vizuri.
Sasa Ligi ya NBC imeanza na Ligi ya Mabingwa inachezwa na Simba imeonekana.
Upepo umepuliza nyeti za kuku zinaonekana. Viongizi wa Simba Kwasasa wanataka kujificha katika kivuli Cha kuhujumiwa. Muda aujawahi kuongopa.
 
Asilimia 90% ya wachezaji walosajiliwa ni wakawaida
 
Unafikiri kwa kutumia nini?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Umeandika kama ulikua akilini mwangu.......huu ndio ukweli na ukwel haupigwi Rungu.....
 

Alafu dirisha dogo tutamsajili Okwi mwenye miska 27!
 
Makolokolo wanadhani haki ya KUSHINDA ni yao tu? Wapuuzi nini..
 
Kama yanga wanauchawi walishindwa vipi kuutumia dhidi ya mechi ya rivers United wakapigwa nje ndani, wewe mbumbumbu kuwa na akili basi, yaani kila anaposhindwa Simba lazima mmuhusishe Mme wenu Yanga
 
Na hao wazee wakatwaa makombe yote mbele yenu last season ninyi ni vijana hopeless kabisa bila shaka
 
Unamaanisha Man City kuzidiwa point 2 na Chelsea basi Man City ni kibonde kwenye ligi kama sio ujinga ni nini kaka?
 
Ukiongelea habari za kina George Castro Mpondela Ni wachache waliokuwepo kipindi hicho. Yanga ilikuwa Ni Yanga kwelikweli, Simba kila akitia mguu analiwa kichwa. Nakumbuka ktk kikosi alibakizwa Ken Mkapa, wengine walifurushwa wakiwemo kina Edibly Lunyamila, Mohamed Husein (Mmachinga), Said Mwamba Nasoro Kizota, Willy Mtendawema, Sanifu Lazaro Tingisha, Stephen Nemes na wengine. Chama likaundwa upyaikiwajumuisha Yosso km Sadiq Kalokola, Anuar Awadh, Privatus Ibrahim(Police), James Tungaraza (bolizozo), Salvatory Edward, Sekilojo Chambua, Nonda Shabaan, Bakari Malima (Jembe Ulaya) na wengineo, mechi ya kwanza tu na mnyama kafa alikufa. Kwa hiyo sisi Yanga haya mambo ya kufumua kikosi na kuanza upya Wala haitusumbui na wachezaji wenyewe wanatujua vizuri kuwa hatunaga muda wakubembelezana. Ila kwa Simba sidhani Kama itakuja kutokea.
 
Kocha hajiwezi. Mechi zaidi ya kumi, uchezaji ni uleule. Ana wachezaji kibao, ila kila siku anang'ang'ania hao hao. Kifupi, alitembelea nyota ya kishingo. Na anataka kuendelea na mbinu zilezile wakati wenzake wanabadili mbinu kila kukicha. Akatafute vyeti kwanza.
 
....akikujibu kwenye hili naomba ni-tag mwananchi mwenzangu..,😊😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…