Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Atapata upendeleo wa dawa na kinga mbalimbali kwa haraka..na muda sahihiInasaidia nini Mimi ambaye Mtoto wangu anakaa chini hapa mbagala!!
Inasaidia kuendelea kukaa chini huko huko mbagala.Inasaidia nini Mimi ambaye Mtoto wangu anakaa chini hapa mbagala!!
Hahahahahahahahahaha mkuu hapo ulipo umetekwa?Tokeni hapa hamshindi wala nini watekaji wakubwa nyie
Hayawezi kuwa, tarajia matokeo mazuri sanaMatokeo yawe kama ya jana kwa mwarabu
Mungu ni mwema atafanikiwa, akishinda taifa limeshinda.All the best Prof....lakini kwa ujibuji huo wa maswali umeondoa trust ya members ambao walikushangilia ulivyomaliza kujinadi.
South Africa ameuliza : Does the country have to be rich to implement universal health care???
You have not answered the question Prof....or may be you hv not understood it.
Wasibadili mawazo tu.
Tatizo huyu jamaa anadhani hichi ni cheo cha kisiasa kama ubunge. Mimi nilishangaa kumuona anazunguka na kikwete mpaka Burkina Faso. Aanadhani picha na kiki ndio zitamsaidia kushinda π π π π π πJanabi mweupe mno,hana kabisa uzoefu kwenye community health. Anaulizwa maswali anajibu atakaa na staffs wake Brazzaville then wataona inakuwaje .Yeye kama yeye hana solutions. Bora huyu wa Togo anaonekana yupo vizuri kwenye community health.
Janabi
The second special session of the WHO Regional Committee for Africa will be held in a virtual format on 18 May 2025 under Special procedures for the conduct of the virtual special session of the Regional Committee for Africa. The working hours will be 09:00 β 18:00 CEST (Geneva time).
The second special session will convene in private meetings open to Member States of the Region only. The interviews of the nominated candidates and the meeting announcing the nominee will be broadcast on the Regional Officeβs website.