kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,493
- 18,387
Sijui kwanini, mi mwenyewe sijielewi kama nataka ashinde au ashindwe!!Kama nawaona watakao furahi baada ya Janabi kupigwa za uso
Sijui kwanini, mi mwenyewe sijielewi kama nataka ashinde au ashindwe!!Kama nawaona watakao furahi baada ya Janabi kupigwa za uso
Hivi ndio huwa mnaharibu mambo. Unahusisha siasa na mambo ya kitaalamu. Wao pia wakiamua kutomchagua kutokana na G55 kuhama Chama je!Woyooo ushindi wa kishindo. Ushindi wa Chama, ushindi wa ilani
Kuna Walaka umemchambua vyema, na hapa amethibitisha tu kwamba Mwandishi yule alikuwa sahihi.Janabi mweupe mno,hana kabisa uzoefu kwenye community health. Anaulizwa maswali anajibu atakaa na staffs wake Brazzaville then wataona inakuwaje .Yeye kama yeye hana solutions. Bora huyu wa Togo anaonekana yupo vizuri kwenye community health.
Mbona hajalazimisha tufuate ushauri wake?Wauzaji wa Bar leo mkisikia Proj Janabi ametoswa huko WHO msifunge Bar hakikisheni Bar zipo wazi!.
Huu ndo ushauri Kama mnakumbuka jamaa yule alipotoweka mlivyo piga hela mkesha wa 17-2021
Hiyo ndo athari ya kujibu maswali kisiasa kama ulivyo ubabaishaji TanzaniaAll the best Prof....lakini kwa ujibuji huo wa maswali umeondoa trust ya members ambao walikushangilia ulivyomaliza kujinadi.
South Africa ameuliza : Does the country have to be rich to implement universal health care???
You have not answered the question Prof....or may be you hv not understood it.
Wasibadili mawazo tu.
DiniMbona hajalazimisha tufuate ushauri wake?
Au una chuki nyingine dhidi yake ?
Watanzania wengi tuna matatizo ya akili, ni suala la muda tuu kama ww muda wako ushafika.Wauzaji wa Bar leo mkisikia Proj Janabi ametoswa huko WHO msifunge Bar hakikisheni Bar zipo wazi!.
Huu ndo ushauri Kama mnakumbuka jamaa yule alipotoweka mlivyo piga hela mkesha wa 17-2021
Sawa. Ulifurahi hiyo 17-2021? Na wewe utatoweka tu. Ni suala la muda na funza watapiga helaWauzaji wa Bar leo mkisikia Proj Janabi ametoswa huko WHO msifunge Bar hakikisheni Bar zipo wazi!.
Huu ndo ushauri Kama mnakumbuka jamaa yule alipotoweka mlivyo piga hela mkesha wa 17-2021
Yaani mweupe mno kwenye kujibu maswali.Muangalie huyu wa Togo anavyojibu kwa details.All the best Prof....lakini kwa ujibuji huo wa maswali umeondoa trust ya members ambao walikushangilia ulivyomaliza kujinadi.
South Africa ameuliza : Does the country have to be rich to implement universal health care???
You have not answered the question Prof....or may be you hv not understood it.
Wasibadili mawazo tu.
Matokeo saa gapi?Janabi mweupe mno,hana kabisa uzoefu kwenye community health. Anaulizwa maswali anajibu atakaa na staffs wake Brazzaville then wataona inakuwaje .Yeye kama yeye hana solutions. Bora huyu wa Togo anaonekana yupo vizuri kwenye community health.
Muulize mkurugenzi wako wa Halmashauri kwanini shule anayo soma mwanao wanakaa chini?Inasaidia nini Mimi ambaye Mtoto wangu anakaa chini hapa mbagala!!
😀😀😀Tatizo huyu jamaa anadhani hichi ni cheo cha kisiasa kama ubunge. Mimi nilishangaa kumuona anazunguka na kikwete mpaka Burkina Faso. Aanadhani picha na kiki ndio zitamsaidia kushinda 😅 😅 😅 😅 😅 😅
Kidumu Chama ChetuWoyooo ushindi wa kishindo. Ushindi wa Chama, ushindi wa ilani