Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,048
- 60,245
Hata kura bado kupigwa.Hii ngoma itaisha usiku.Sasa anajieleza mgombea no 3,bado mmoja hajaongea.Matokeo saa gapi?
Hata kura bado kupigwa.Hii ngoma itaisha usiku.Sasa anajieleza mgombea no 3,bado mmoja hajaongea.Matokeo saa gapi?
Sawa shukurani,Hata kura bado kupigwa.Hii ngoma itaisha usiku.Sasa anajieleza mgombea no 3,bado mmoja hajaongea.
Nimemuuliza anasema niende Kwa Samia nikaulizeMuulize mkurugenzi wako wa Halmashauri kwanini shule anayo soma mwanao wanakaa chini?
Janabi mweupe mno,hana kabisa uzoefu kwenye community health. Anaulizwa maswali anajibu atakaa na staffs wake Brazzaville then wataona inakuwaje .Yeye kama yeye hana solutions. Bora huyu wa Togo anaonekana yupo vizuri kwenye community health.
Shida ni lugha....Hiyo ndo athari ya kujibu maswali kisiasa kama ulivyo ubabaishaji Tanzania
Watanzania wengi lugha na communication skills ni tatizo.Yaani mweupe mno kwenye kujibu maswali.Muangalie huyu wa Togo anavyojibu kwa details.
Kwenye CV yake page ya WHO inaonyesha alizaliwa Moshi KilimanjaroKuna Walaka umemchambua vyema, na hapa amethibitisha tu kwamba Mwandishi yule alikuwa sahihi.
Dr Ndugulile alishinda.Tume ya ccm haiko huko Uswis lazima aliwe kichwa huyo mtu wenu.
Na akiliwa kichwa tutajua bila tume ya ccm watu wao kushinda mwisho Namanga
Kabisa.Watanzania wengi lugha na communication skills ni tatizo.
Bado mfumo wetu wa elimu ni mbovu saana.
Kama lugha inakuwa shida swali liulizwe kwa kiingereza kisha jibu kwa kiswahili watatafsiri.
Mimi nasimama na wa Ivory CoastTunaomba list ya wagombea wengine ili tuchague wa kusimama naye
Team Ivory Cost woyoooooooooMimi nasimama na wa Ivory Coast View attachment 3338130
Umlinganishe na yule wa Ivory Coast sasa.Janabi leo anakuwa wa Mwisho.Nipo hapa.Comment yako ni sawa na mshabiki wa mpira anavyokaa nje akisema pale, Aziz k alitakiwa tu apige kwenye kona ya Goli: unafikiri ni rahisi hivyo.....
Nimemsikiliza Prof pia; yuko Vizuri
Mfano amesema; kila nchi ina changamoto zake tofauti na sio sawa kufikiri kuwa tunaweza kuwa na solution moja itakayofanya kazi kwa wote. Wewe unataka ufananishe matatizo ya Afya ya Burundi au Central Africa na south Africa and Egypt nk
Lakini pia kasema ata andaa data base ya kuonesha ni huduma gani za kibingwa zinapatika Africa kwa usahihi; na hii ni muhimu kwani itasaidia kupunguza gharama za kupeleka watu nje lakini pia kujua ni ukanda upi una changamoto zaidi....
Mfano watu wanakimbilia India na Ulaya kutibu Moyo wakati South Africa ina moja ya hospitali kubwa za kutibu moyo duniani
Niseme tu; huwezi kuwa na majibu yako kichwani ufikiri kila mtu atajibu kama wewe unavyofikiri.....
Apite aende wapi?Tunamwomba Mungu APITE.