Kushinda kwa Prof hakumaanishi alijibu swali vizuri.
Nani aliyekuambia Prof anaakili kuliko wasio maprofs?
Nikutoe ujinga: Prof aliamua kuendelea kusoma tu mkuu tu ndiyo maana anaitwa Prof. Mfano mdogo wewe unaweza kuwa na elimu labda kadegree kamoja au viwili ila ninawajua darasa la saba kibao wenye reasoning kukuzidi.
Toa ujinga wa kufikiri kwamba Janabi kisa kashinda basi alijibu maswali vizuri. Hakujibu na kusema hakujibu ni uhalisia na sibatilishi wala kuonea donge ushindi wake. I'm even happy maana hakuna sehemu niliandika sitaki ashinde.
Swala: hakujibu au hakuelewa swali aliloulizwa na hajui kujieleza. Wewe kwa ujinga wako unashindwa kutofautisha hivi viwili.