Umlinganishe na yule wa Ivory Coast sasa.Janabi leo anakuwa wa Mwisho.Nipo hapa.
Prof: Janabi kaongea vizuri sana ni umbumbu wa watanzania hawapendi maendeleo ya wengine
Ukweli WATANZANIA tuna udhaifu mkubwa sana wakutopenda vya kwetu
Hata mtu akifanya vizuri huko Ulaya badala ya watu wajuvunie sisi tunatafuta vya kumkosoa
Wenzetu wanajivunia watu wao wanao watoa kimasomaso kama Icon ya Nchi sisi kutwa kucha kuwachafua!
Ukitakua kahakikisha hilo; Mtafute Mbwana Samata; Hasheem Thabit nk mtu anaogopa hata kusema ametoka Tz kwa sababu ya upuuzi wa comment kutoka TZ
Prof Janabi angekuwa kutoka south Africa, kenya, Nigeria, ungeona comment kama
1. With all your expertise, we cant think of anyone who deserves this position more!
2. You have worked so hard and it will pay you!
3. We are thrilled for you!
4. This is well deserved!
5. We are so proud of you!
Nafikiri bado tupo karne ya 19 wakati ulimwengu unaelekea karne ya 22