Kiki kwenye siasa ni kukwepa uwajibikaji!

Kiki kwenye siasa ni kukwepa uwajibikaji!

Kuna muda mnajiumbua wenyewe kwenye hiili jukwaa kumbe na hii I'd lumumba buku7fc Basi leo nimeamini kumbe CCM kutwa kucha tunasumbuana na watu wa2 au mmoja sihabgaiki na nyie mazuzu Tena nawapuuza. Kwanzia Leo mavi nyie.
Endelea kushupaza shingo bro!! Ukishavuta ndumu zako kaa geto na masela zako. Acha kucheza na mfumo uliokusanya mastaa wengi kwa wakati mmoja. Mfuno uliotuvusha salama kwa miaka 65 huwezi wewe maandazi kuung'oa kama shina la mhogo wakati wa mvua za masika, vinginevyo unatafuta balaa la kujitakia.
 
Kwanini unatishia watu?
 
Stahangaika na WATUMWA wa fikira Tena nishasema.
 
Hivi kudandia mambo ya chama kingine ambayo hayawahusu ni umbeya au kutafuta kiki?

Hii haimaanishi watu wasihoji au kukosoa mnaruhusiwa kabisa kuhoji

Lakini watu wa humu jukwaani wa CCM kuanza kushupalia mambo ya CHADEMA, ni kwa sababu wao ni waadilifu sana au ni umbeya tu?

Nyie mmelalamikiwa mara ngapi kwa kufanya ufisadi, tena kwa ushahidi, mbona hamuongelei?
Ila mkisikia Heche ana magari 5, mnalipuka! Huu ni ushamba au ni ujinga?

Mnaacha kusikiliza kero za wananchi, mnajadili CHADEMA kila siku kana kwamba kila mwananchi ni CHADEMA

Nashangazwa pia na viongozi wa hii nchi wanavyoacha kutatua kero za wananchi na kuanza kushupalia wapinzani

Vipi kuhusu Katiba Mpya?
Vipi kuhusu Tume ya Uchaguzi?
Vipi kuhusu Muungano?
Vipi kuhusu ajira, wakati watu wengi waliomaliza vyuo wanakaribia kuishia kuwa bodaboda?

Vipi kuhusu ile bima ya afya kwa wote?
Vipi kuhusu elimu bora?
Vipi kuhusu watu kupotezwa?

Vipi kuhusu October 29?

Au mmeweka Lissu gerezani kama kutafuta kiki?

Maana inaonekana watu wasijadili tena vitu vingine
Kila siku ni attention kwa Mahakama ili tukija kushtuka ni 2030.

Mmetumia Lissu kama kete?

Kimsingi, kama kuna kesi dhidi yake, basi mahakama ifanye kazi yake na iamue kwa mujibu wa sheria

Lakini hizi dana dana zisizo na mwisho ni uonevu mkubwa kwa mshtakiwa na kwetu sisi wananchi

Tukisema hana kosa ila mnamtumia
Kusogeza muda mbele na kukwepa kuwajibika tutakua tunakosea?

Wananchi wana kero nyingi.

Msituambie kila siku kuhusu CHADEMA tu tuambieni kuhusu maisha ya wananchi ajira, afya, elimu, uchumi na usalama wao

Kuna tofauti kati ya kuhoji kwa maslahi ya umma na kudandia kila jambo la chama kingine kwa sababu tu ni chama kingine

ShesRise_1 ✋️
Ndio Maana China tulikuwa nao sawa,sisi tumebaki palepale hata SI k za meno,tynaagiza nje!
 
Back
Top Bottom