kama umenisoma na kunielewa utaona hakuna nilipo support serikali kuwekeza nguvu kwa Chadema, halafu nafikiri serikali haijawekeza nguvu kwa chadema bali imewekeza nguvu kwa yoyote anayeonekana kutia mchanga kitumbua cha wenye mamlaka bila kujali upande aliopo kisiasa.Kwahiyo una unga mkono serikali kuwekeza nguvu kwa chadema kuliko kero zinazolalamikiwa?
