Kiki kwenye siasa ni kukwepa uwajibikaji!

Kiki kwenye siasa ni kukwepa uwajibikaji!

Huna uwezo wa kunikera mimi hili hata wewe unalijua right?

Sasa jikite kwenye hoja na utoe fact tupu bila kuweweseka sawa gentleman?
ni ukweli ninaouleza ndio pekee hua unakera na sio mimi. Kwani mimi ni nani hata nikere waTanzania wenzangu ndugu mdau?

kimsingi hakuna hoja hapo ndugu mdau,
ni hali ya kawaida tu ambayo inataka kufanywa special katika siasa.

In fact,
kuorodhesha malalamiko yako pekee na kulaumu upande usiounga mkono, bila kuonyesha ungefanya nini wewe na upande wa siasa uliopo, katika siasa is just like crying baby.

kila chama cha siasa nchini,
kina agenda, vipaumbele vyake na malengo ya kuanzishwa kwake dhidi ya wananchi. Na dertimined and focused political parties can never be shaken with blames from other opposite parties, especially vile ambavyo havina hata sifa tu ya kushiriki uchaguzi.

Na ndio maana,
huwezi kukuta vyama imara vya siasa vyenye wajibu mbele ya umma, vinababaika na mihemko au makasiriko ya wafuasi wa vyama vya siasa vya fujo na ghasia huku vikitafuta utakatifu 🐒
 
Ndugu mdau kwenye bandiko langu inaonekana ni kama malalamiko au nimekemea tabia mbaya na ya hovyo ya kushupalia wapinzani kuliko kutekeleza mambo ya msingi ambayo tayari nimeyaorodhesha baadhi yake?

Kwanini unasoma bandiko langu kwa sauti ya malalamiko?

Haya tuseme nimelalamika
Wewe ambaye si mlalamishi naomba ujikite kwenye mada hasa kwenye maswali niliyouliza

Tafadhali usini-quote tena kwa mahubiri
Ningependa uchukue hata maswali mawili kati ya niliyouliza uyatolee ufafanuzi wako🐒
 
ndio maana nasisitiza sana kwamba siasa ni sayansi.
sio kosa wala tabia mbaya kwa vyama vya siasa kuzungumziana na kukosoana. In fact hiyo ndio afya na ustawi wa demokrasia ya vyama vingi, unless unafanya kitu kingine tofauti na siasa ukiwa ndani ya chama cha siasa.

Vyama vya siasa kukosoana ni sawa na kuimarishana tu. Ikiwa mashambilizi dhidi ya chama chako ni ya kweli, basi kimya kimya au kwa uwazi kinawajibika kuchukua hatua muafaka za makusudi na kujirekebisha na kujisahihisha ili kuondoa sintofahamu ya kisiasa mbeleni.

malalamiko na porojo zingine zipo kwenye ratiba za wahusika and you can do nothing to change it 🐒
 
Kwahiyo hapo ndio umejibu hoja 😆😆
 
Acha kujidhalilisha
Wewe kutoona hoja haina maana hoja hamna
kwenye siasa hakunaga hiyo kitu ndugu mdau,
hakunaga kuaona aibu, haya wala huruma. We always hit harder on target if you have opportunity to do so.

i'm sorry ikiwa nimedeconstruct theory yako kisiasa, kwasababu hapakua na namana ingine ispokua hivyo. na hata hivyo ni kwa uchache sana, but i think we are all together as Tanzanians family :1Head:
 
Hivi kudandia mambo ya chama kingine ambayo hayawahusu ni umbeya au kutafuta kiki?

Hii haimaanishi watu wasihoji au kukosoa mnaruhusiwa kabisa kuhoji

Lakini watu wa humu jukwaani wa CCM kuanza kushupalia mambo ya CHADEMA, ni kwa sababu wao ni waadilifu sana au ni umbeya tu?

Nyie mmelalamikiwa mara ngapi kwa kufanya ufisadi, tena kwa ushahidi, mbona hamuongelei?
Ila mkisikia Heche ana magari 5, mnalipuka! Huu ni ushamba au ni ujinga?

Mnaacha kusikiliza kero za wananchi, mnajadili CHADEMA kila siku kana kwamba kila mwananchi ni CHADEMA

Nashangazwa pia na viongozi wa hii nchi wanavyoacha kutatua kero za wananchi na kuanza kushupalia wapinzani

Vipi kuhusu Katiba Mpya?
Vipi kuhusu Tume ya Uchaguzi?
Vipi kuhusu Muungano?
Vipi kuhusu ajira, wakati watu wengi waliomaliza vyuo wanakaribia kuishia kuwa bodaboda?

Vipi kuhusu ile bima ya afya kwa wote?
Vipi kuhusu elimu bora?
Vipi kuhusu watu kupotezwa?

Vipi kuhusu October 29?

Au mmeweka Lissu gerezani kama kutafuta kiki?

Maana inaonekana watu wasijadili tena vitu vingine
Kila siku ni attention kwa Mahakama ili tukija kushtuka ni 2030.

Mmetumia Lissu kama kete?

Kimsingi, kama kuna kesi dhidi yake, basi mahakama ifanye kazi yake na iamue kwa mujibu wa sheria

Lakini hizi dana dana zisizo na mwisho ni uonevu mkubwa kwa mshtakiwa na kwetu sisi wananchi

Tukisema hana kosa ila mnamtumia
Kusogeza muda mbele na kukwepa kuwajibika tutakua tunakosea?

Wananchi wana kero nyingi.

Msituambie kila siku kuhusu CHADEMA tu tuambieni kuhusu maisha ya wananchi ajira, afya, elimu, uchumi na usalama wao

Kuna tofauti kati ya kuhoji kwa maslahi ya umma na kudandia kila jambo la chama kingine kwa sababu tu ni chama kingine

ShesRise_1 ✋️
Ila Chadem kushupalia ya CCM ni sawa? Mbona hai CHADEMA hoja zao na mada zao zote huwa zinatokana na vitu wanavyofanya CCM. Hivi nchi hii ukiwa mwanachadema basi hairusiwi wewe kukosolewa, kusemwa n.k?

Usipende kushadadia ya wenzako kama wewe hutaki ya kwako yasemwe. CHADEMA kaeni mbali na masuala ya vyama vyingine, hamna hatimiliki ya siasa za Tanzania peke yenu.
Kabla ya siasa za Vyama vingi vilivyoizaa chadema kuna vyama vilikuwepo. Acheni kujiona nyie ndo kila kitu.
 
kwenye siasa hakunaga hiyo kitu ndugu mdau,
hakunaga kuaona aibu, haya wala huruma. We always hit harder on target if you have opportunity to do so.

i'm sorry ikiwa nimedeconstruct theory yako kisiasa, kwasababu hapakua na namana ingine ispokua hivyo. na hata hivyo ni kwa uchache sana, but i think we are all together as Tanzanians family :1Head:
Haya kunywa chai sasa
 
Watu tulishasema hakuna haja ya mwanasiasa kujivika vazi la utakatifu
Sio CHADEMA wala sio CCM

Hii nchi tatizo sio chama iwe CCM au CHADEMA
Tatizo kubwa ni misingi mibovu
Lazima tukubali waasisi wa taifa hili waliacha mapengo mengi

Na kama hiyo misingi haijaboreshwa, hata apewe nchi nani bado itakuwa hovyo tu

Tunahitaji kujenga mifumo imara na misingi inayosimamia nchi sio kutegemea mtu au chama fulani

Maana chama kinaweza kubadilika, viongozi wanaweza kubadilika lakini mfumo ukibaki uleule matatizo yataendelea kujirudia
Au yakuwa mabaya zaidi
Wachache sana ndiyo watakuelewa hapa.

Mwaka 2025 nilielezea hili kwenye uzi wangu 👇.
Shida sio CCM shida ni Watanzania

Watu wachache sana ndiyo walinielewa hapo.
 
Back
Top Bottom