mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Muda unakimbiaaa sanaa...pira biriani nguvu akili na uwezo ujuziHiki ndicho kikosi ambacho watu wengi wanasema kuwa ndio kikosi bora kabisa cha Brazil cha muda wote.
kikosi hiki ndicho kilichobeba kombe la dunia mwaka 2002 huko korea dhidi ya timu ngumu ya Ujerumani kwa magnolia 2-0 yaliyofungwa na Ronaldo og.
Katika mashindani hayo Ronaldo akiwa katika kilele cha ubora wake alifunga magnoli 8 katika mechi 7. Kikosi ni hiki hapa:
Karibuni kwa comments.
Muda wote hapana. Brazil ya 1970 na ya 1982 ilikuwa bora zaidi ya hiyo.Hiki ndicho kikosi ambacho watu wengi wanasema kuwa ndio kikosi bora kabisa cha Brazil cha muda wote.
kikosi hiki ndicho kilichobeba kombe la dunia mwaka 2002 huko korea dhidi ya timu ngumu ya Ujerumani kwa magnolia 2-0 yaliyofungwa na Ronaldo og.
Katika mashindani hayo Ronaldo akiwa katika kilele cha ubora wake alifunga magnoli 8 katika mechi 7. Kikosi ni hiki hapa:
Karibuni kwa comments.
Neno muda wote liondoe unatukeraHiki ndicho kikosi ambacho watu wengi wanasema kuwa ndio kikosi bora kabisa cha Brazil cha muda wote.
kikosi hiki ndicho kilichobeba kombe la dunia mwaka 2002 huko korea dhidi ya timu ngumu ya Ujerumani kwa magnolia 2-0 yaliyofungwa na Ronaldo og.
Katika mashindani hayo Ronaldo akiwa katika kilele cha ubora wake alifunga magnoli 8 katika mechi 7. Kikosi ni hiki hapa:
Karibuni kwa comments.
Style ya nywele tu inaonesha wamekuja kazini.2002 hio. Nimekumbuka mbali sana.
Ila ile brazil ya WC ya 2022 walikuwa mabishooo wengi sanaStyle ya nywele tu inaonesha wamekuja kazini.
Kama Bebeto na Romario hawapo hicho kikosi ni Taifa Star ya under 17 tuHiki ndicho kikosi ambacho watu wengi wanasema kuwa ndio kikosi bora kabisa cha Brazil cha muda wote.
kikosi hiki ndicho kilichobeba kombe la dunia mwaka 2002 huko korea dhidi ya timu ngumu ya Ujerumani kwa magnolia 2-0 yaliyofungwa na Ronaldo og.
Katika mashindani hayo Ronaldo akiwa katika kilele cha ubora wake alifunga magnoli 8 katika mechi 7. Kikosi ni hiki hapa:
Karibuni kwa comments.
Bila kuwapo Pele, Garincha, na Tostao, hicho siyo kikosi bora cha muda woteHiki ndicho kikosi ambacho watu wengi wanasema kuwa ndio kikosi bora kabisa cha Brazil cha muda wote.