Kikosi bora cha mwaka JF

Yaani jitihada zangu zote hamzioni??
 
Bench la figisufigusi inawapa taarifa wote kubeba mawe na chupa pale refa anapofanya maamuzi ambayo hatuyaelewi tunahakikisha hafiki kwake

By Mwenyekiti wa Figisufigusi
 
Pia ndugu Bujibuji amerudishwa kikosini kwani ni kiungo wetu tegemezi.
Licha ya utovu wa nidhamu.. Lakini ni kiungo mwenye kipaji cha Hali ya juu. Ikiwemo ni uwezo wake wa kupiga mashuti makali..

Hiyo ni baada ya mashabiki wengi kudai Bujibuji arudishwe kabla ya mechi kesho kwani ni mtu muhimu..

Stay tune
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…