Kikosi bora cha mwaka JF

Kikosi bora cha mwaka JF

Zikiwa zimebaki siku chache mwaka uishe.
Ningeomba tuweke kikosi bora cha jf kwa mtindo wa wachezaji soka...

Kipa.. Nyani Ngabu
Beki 2: pancho boy
Beki 3 Baba Swalehe
Beki 4 Bazazi
Beki5: rikiboy na sub yake mkwepu jr


namba 6 Da'Vinci
namba 7 CONTROLA
namba 8: Bujibuji
Namba9: Zero IQ
Namba 10: troublemaker
Namba 11 MLEVi Mmoja
Sub Hazard CFC
Nokia83
funzadume
Bitoz
Sesten Zakazaka
@icebreaker
James Comey

Benchi la ufundi..
Kocha mkuu _ Asprin
Kocha msaidizi_ Kiranga
kocha wa viungo Mwl.RCT
Kocha wa viungo 2. Don Clericuzio

Wasemaji wa team..
Matola
GuDume
Numbisa
Shadeeya

Kamati ya ufundi.. (ulozi)
Mshana Jr
Rakims

Wafadhili wa team.
Kiduku Lilo
Mikwara Ya Andunje
Tajiri Kichwa ,Tajiri mpole

Kamati ya hamasa..
Shunie
Miss Natafuta
manengelo
Mishil
Depal
Sakayo

Mabaunsa wa team..
Castr
Pablo Blanco
Jon Stephano

Dokta wa team
Mwifwa

mweka hazina wa team.
Pascal Mayalla
Daby
Watu8

Mpishi wa team..
Sky Eclat
Zesh
Mzigua90
Hawachi

Kitengo cha figisufisu bila ulozi.
MO11
joanah
Billie
Kichwa Kichafu
Viatu vya Samaki.
Ushimen

Wazee wabishi wa team (wapigaji
FaizaFoxy

mlinzi wa getini makao Makuu.
MKWEPA KODI
MAGALLAH R

Update: matajiri Wetu ndugu Kiduku Lilo ametoa shilingi milioni 800 kama motisha kwa team yenu na posho za wachezaji.

Huku ndugu Tajiri Kichwa ,Tajiri mpole wakitoa milioni 200 kila mmoja..

Pia ndugu. Mikwara Ya Andunje akitoa milioni 600 tunasubiri mgao kutoka kwa muweka hazina Ushimen



Unaruhusiwa Ongezea wewe ili tupate team Kali ya jf.. Ya mwaka

Nsije kuonekana napendelea..
Yaani jitihada zangu zote hamzioni??
 
Bench la figisufigusi inawapa taarifa wote kubeba mawe na chupa pale refa anapofanya maamuzi ambayo hatuyaelewi tunahakikisha hafiki kwake

By Mwenyekiti wa Figisufigusi
nae ndugu Kichwa Kichafu kutoka kitengo cha figisu bila ulozi amedaiwa kulitia bisibisi tairi la basi la team pinzani. Wakati wakiwa njiani kujiandaa kuja kucheza na team yetu ya jf

Uongozi umesema kuwa ndugu Kichwa Kichafu ataongezwa mshahara kwani kazi aliyofanya ni ya kuigwa
 
Pia ndugu Bujibuji amerudishwa kikosini kwani ni kiungo wetu tegemezi.
Licha ya utovu wa nidhamu.. Lakini ni kiungo mwenye kipaji cha Hali ya juu. Ikiwemo ni uwezo wake wa kupiga mashuti makali..

Hiyo ni baada ya mashabiki wengi kudai Bujibuji arudishwe kabla ya mechi kesho kwani ni mtu muhimu..

Stay tune
 
Back
Top Bottom