Hawa inabidi tuwapeleke kwenye kamati ya Maadili japo sijaiona hapo juu.Update.
Umezuka ugomvi kati ya Da'Vinci na mpishi wa team Hawachi .
Chanzo kikiwa ni Da'Vinci kulalamika kuwa Hawachi kamuwekea msosi mdogo.. Na kudai aongezewe msosi kwani amefanya mazoezi makali..!
Hawachi aligoma na kudai kuwa Da'Vinci tumbo lake lina shimo ndani..
Hapo ukazuka ugomvi mkubwa na mabaunsa wa team Castr na team yake wakaja kutuliza ghasia..
Mchezaji alijaziwa shendele Kama alivyodai
Ndiyo ndugu mkuu wa kitengo ulifanyalo na litendeke upesiHawa inabidi tuwapeleke kwenye kamati ya Maadili japo sijaiona hapo juu.
Kiti moto kinawahusu ili iwe mfano kwa wengine. Teh teh.
πππ na kweli. Mambo mingi mingi.
Pia unazungumziaje mechi ya kesho itayokayokuwa hapa live..Hawa inabidi tuwapeleke kwenye kamati ya Maadili japo sijaiona hapo juu.
Kiti moto kinawahusu ili iwe mfano kwa wengine. Teh teh.
Pia niongezee kila atakayeingia kichwa kichwa kwa namna yeyote ile basi ni lazima tumkalishe.
Hivyo huko waliko wajipange kwani Kikosi cha Jf sio cha Mchezo mchezo.
Ndio tuanze sasa hivi bebiKama unajua dawa kwann hujanishirikisha
Ila kwa kuwa Manager ni yule mzee Asprin π basi najua lazima atawaweka sawa na utofauti hautaonekana. π€£π€£Kabisa,kikosi kimesheheni sura za kila aina kama hii pichaView attachment 1301028
usijali tupo pamoja sanado the needful mkuu.
Tuna mechi kesho
Wewe unacheza ngapi mzee
2 mkuu ππunapiga ngapi mzee
Mbili ni namba yangu mkuu haha hata hivyo hakuna shida kocha ataamua uanze wewe au Mimi..2 mkuu ππ
Ninaamini itakuwa big match kwani kama alivyotangulia kusema Numbisa uwepo wa Bujibuji utaongeza nguvu kwenye timu iliyodhoofishwa na hali ya hewa na wingu kubwa la ukosefu wa mambando na usomaji wa namba usiotabirika.Pia unazungumziaje mechi ya kesho itayokayokuwa hapa live..
Kurudishwa kwa buji buji..
Bazazi kupewa ucaptain
Halafu hata sijafanya utani.Mbili ni namba yangu mkuu haha hata hivyo hakuna shida kocha ataamua uanze wewe au Mimi..
Ngoja tuone kaka siwezi kukubali uniweke benchi..Halafu hata sijafanya utani.
Huwa nasukuma 2 nikicheza.
Asante sana ndugu msemaji kwa upembuzi yakinifu. Pia tungeomba jezi tutakazovaa ziwekwe hapa watu wazioneNinaamini itakuwa big match kwani kama alivyotangulia kusema Numbisa uwepo wa Bujibuji utaongeza nguvu kwenye timu iliyodhoofishwa na hali ya hewa na wingu kubwa la ukosefu wa mambando na usomaji wa namba usiotabirika.
Huyo Bazazi kwa utulivu , maamuzi yake na hata umakini wake ninaamini atakuwa msimamiaji mzuri wa wachezaji wa timu ya JF ambao hawatakuwa wanaonewa hovyo hovyo na marefa hasa wale wakandamizaji katika kuwanyima haki zao wachezaji wa jf.
Hivyo yaliyofanyika yamefanyika kwa usahihi wa hali ya juu.