Kikosi cha kike cha SWAT kinachoweza kupambana na ugaidi chazinduliwa Kenya. First in sub-saharan Africa.

Kwenye karne hii, mtu ambaye ana dhana kwamba wanawake hawawezi wakafanya lolote lingine isipokuwa kuzaa na kulea ni mtu mpumbavu kupindukia.
Narudia tena, kwa kusapotiana ujinga na nduguzo hamjambo.
Umesikia hatuna jeshi la wanawake?
 
That's a big NO from me! Qualification ya hizo vitu inafaa ikue on merit, hakuna mambo ya affirmative action kwenye SWAT, basic training for both men and female SWAT should be the same, kama hauezi kupanda 20 floors of stairs ukiwa umebeba bag la 50kg uwe mume au mke haufuzu kuingia kwa kikosi, wasiweke standards za wanaume na wanawake!!!
 
Hizo ni personal comment zao tena nadhani ni jokes tu, au umeona all Tanzanian wamekuja kucoment humu [emoji23][emoji23][emoji23]
...unadhani, nimekuelewa. Alafu nimewakashifu wao wenyewe, personally, sio kwa ujumla. Kama wewe ndio wakili wao, waambie wabadilike lakini kama ni kiherehe chako tu, badilika pia.
 
Don't Undermine Women at this generation brother. Wanaweza kuwa na mapungufu ya mambo machache ila wamejitolea as how the soldier duty requires na wako well trained tujenge imani ya participation yao and wait for the trails to begin tujue outcome watakayo leta kwa taifa la Kenya, nchi jirani kama Tanzania, Uganda and the rest of Africa. Ila hata wajaanza operations za maeneo makubwa ya kuzidi kuimarika tayari umeshatoa negative remarks to them. It's a selfish opinion you just put out here brother ila una free will na kuchangia mawazo yako kama ulivyofanya, it's okay.

NB: And let's be proud here for a minute Africa ndio tumepata kikosi cha kwanza cha Wanawake SWAT force. Bravo!!!!!
 
Ungeanza kumuambia mleta uzi abadilike,
Hivi unadhani asingeingiza Tz ungetuona hapa tukicommenu ? Hapana
Punguzeni shobo
Au unadhani wanaume wa Tz ni kama hao wakwenu wanaochapwa daily na bibi zao [emoji23][emoji23][emoji23]
...unadhani, nimekuelewa. Alafu nimewakashifu wao wenyewe, personally sio kwa ujumla. Kama wewe ndio wakili wao, waambie wabadilike lakini kama ni kiherehe tu badilika pia.
 
Ungeanza kumuambia mleta uzi abadilike,
Hivi unadhani asingeingiza Tz ungetuona hapa tukicommenu ? Hapana
Punguzeni shobo
Au unadhani wanaume wa Tz ni kama hao wakwenu wanaochapwa daily na bibi zao [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe hawa madada wanaeza kukuparamia na kukupa kichapo cha mbwa hadi ukajinyea. Hawa sio wa kuchezewa. Na wewe unajiona una nguvu sana lakini kumbuka huna mafunzo yoyote ya kivita na mmoja wa wanawake hawa anaweza chukua dakika mbili tu kukuchapa hadi ukakaa chini.
 
Mimi mwanamke yeyoye hata commando hawezi kunipiga, Akyamungu ntapiga hadi asahau kambini


Vp ww unapigwa na mwanamke??

[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Unaongea like tushawahi kutana mahali [emoji23][emoji23][emoji23]
Katika watanzania kumi humkosi mmoja aliyepitia JKT, shauri yako
 
Mimi mwanamke yeyoye hata commando hawezi kunipiga, Akyamungu ntapiga hadi asahau kambini


Vp ww unapigwa na mwanamke??

[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Wewe hata hutapigwa ngumi, wewe ni makofi tu kisha utaishia kuzimia na kujinyea
 
Unaongea like tushawahi kutana mahali [emoji23][emoji23][emoji23]
Katika watanzania kumi humkosi mmoja aliyepitia JKT, shauri yako
Jkt na Swat, wapi na wapi. Mmoja amefunzwa kutumia bazooka na mwingine amefunzwa kutumia rungu kupigana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…