Kikosi cha Makomandoo wa IDF wajipenyeza ndani ya maeneo ya Hamas na kufanya tukio!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Kikosi cha Makomandoo wasomi wa IDF kiliingia katika eneo linalodhibitiwa na Magaidi wa Hamas kusini mwa Gaza mapema Jumatano na kumkamata Sabri Abd al-Aal, afisa mkuu wa polisi wa Hamas mwenye cheo cha Aqid, sawa na kanali.

Takriban saa saba usiku, kikosi cha takriban Makomandoo 15-20 wakiongozana na mbwa wa polisi kiliingia kutoka eneo la al-Shakoush, kati ya kusini mwa Khan Younis na kaskazini mwa Rafah, na kusonga mbele hadi al-Mawasi, Khan Younis, kuelekea hema la Abd al-Aal.

Kikosi hicho kilimkamata Abd al-Aal pamoja na Nashat Zaarab, mfanyakazi wa kampuni ya usalama ya Kamati ya Al-Aqsa, kabla ya kujiondoa kuelekea Mstari wa Njano wanaoumiliki!!

Tukisema Israel ni kidume huko Mashariki ya kati muwe mnatuelewa
 
Hii habari bila link ya taarifa hiyo basi ni udaku.
 
Wanachofanyiwa sasa hivi wanajuta kwann walivamia Israel oct 7, viongozi wao wote hawapo duniani, wanaishi Kwa mashaka, hawana mamlaka Tena nk
 
Hao magaidi wa kizayuni wanatakiwa wapigwe sana matukio ili waache ugaidi wao
Na ipo siku yao tu watajaa kwenye mfumo
 
Kikosi cha Makomandoo wasomi wa IDF kiliingia katika eneo linalodhibitiwa na Magaidi wa Hamas kusini mwa Gaza mapema Jumatano na kumkamata Sabri Abd al-Aal, afisa mkuu wa polisi wa Hamas mwenye cheo cha Aqid, sawa na kanali.

Takriban saa saba usiku, kikosi cha takriban Makomandoo 15-20 wakiongozana na mbwa wa polisi kiliingia kutoka eneo la al-Shakoush, kati ya kusini mwa Khan Younis na kaskazini mwa Rafah, na kusonga mbele hadi al-Mawasi, Khan Younis, kuelekea hema la Abd al-Aal.

Kikosi hicho kilimkamata Abd al-Aal pamoja na Nashat Zaarab, mfanyakazi wa kampuni ya usalama ya Kamati ya Al-Aqsa, kabla ya kujiondoa kuelekea Mstari wa Njano wanaoumiliki!!

Tukisema Israel ni kidume huko Mashariki ya kati muwe mnatuelewa

Nikajua wamevamia Iranian

kumbe Palestine
palepale ‼️

pale kwanza Palestine yote imezungukwa na Israel
Pili pamoja na kuzungukwa kwao bado IDF ilishindwa kuwapa Mateka wao kiasi
Wakafata yaleyale wametaka Hamas ili kupewa
Mateka wao🫎🫎

Yote na yote Hamas wamesema na ulimwengu wote
juu Haki ya Mapambano ya kweli

Wakipigana kishujaa kwa miaka mi2
Wkt Israel ikipokea misaada ya Kijeshi kutoka kila kona
ya Dunia 👈

Wkt Hamas wakikosa msaada wowote hata wa Chakula tu wamenyimwa👈

Lkn bado walipeleka MOTO kwa Jeshi Israel Jeshi la Israel ni sawa na kusema ni Jeshi la kimataifa mana wamejazana Wazungu kutokea kila kona ya Dunia

Zaidi Ulimwengu ulijionea Ushujaa wa Vijana wa Kiislamu mbele ya Macho yao

Changanya na ISLAMIC REPUBLIC OF IRANIAN
Waislamu wameonesha Wapo tayali kupigania HAKI zao pasi kuogopa chochote

Sasa njoo kwa Majeshi ya Wakristo kama Venezuela unaweza kukuta unajeshi kubwaaa lkn wakiona kifo wote wanatawanyika na usijue wamepotelea wapi🫎🫎🤠🤠🤠🤠🤠

NICOLAS MADURO anajutia sana kukosa vidume kama vya Hamas au Iranian 💪💪💪
 
Najiuliza ingekuwa na Hamas wanapata misaada kama Israel
Wangekimbia na mavi kwenye nguo zao💪💪💪
 
Endelea kujifariji wakati waarabu wa kipi kutoka Kama nzige,,
 
Attachments

  • -8974175161552320551.mp4
    5.7 MB
  • -7447055569311480926.mp4
    1.5 MB
Back
Top Bottom