Kikosi cha Tanzania kitakachoumana na Kenya kufuzu CHAN

Nimefurahi kumwona Kelvin John

Japo nasikitika sijawaona

1. Onesmo mayaya
2. Dickson Job


Ni wakati sasa wa kuwaamini vijana.
 
Hakuna vijana mpaka waitwe Shikamoo jazz kina Kaseja?
 
Hakuna mchezaji wa Mtibwa???:TFF tutawatoa kwa nguvu manina

1. Aish Manula (Simba)

2. Juma Kaseja (KMC)

3. Metacha Mnata (Yanga)

4. Paul Godfrey (Yanga)

5. Boniface Maganga (KMC)

6. Gadiel Michael (Simba)

7. Paul Ngalema (Namungo FC)

8. David Mwantika (Azam FC)

9. Idd Mobi (Polisi Tanzania)

10. Kelvin Yondan (Yanga)

11. Erasto Nyoni (Simba)

12. Jonas Mkude (Simba)

13.Abdulazi Makame (Yanga)

14. Mudhathir Yahya (Azam)

15. Ibrahim Ajib (Simba)

16. Salim Aiyee (KMC)

17. Saloum Abobakar (Azam FC)

18. Masoud Abdallah (Azam FC)

19. John Bocco (Simba)

20. Ayoub Lyanga (Coastal Union)

21. Kelvin John (U 17)

22. Fei Toto (Yanga)

23. Frank Domayo (Azam FC)

24. Hassan Dilunga (Simba)

25. Iddy Naldo (Azam FC)

26. Shaban Idd Chilunda (Azam FC)
 


Kaimu Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Etiene Ndairagije ametaja kikosi cha Wachezaji 26 kitakachojiandaa na mchezo wa CHAN dhidi ya Kenya. Taifa Stars itaingia Kambini Julai 21,2019 Dar es Salaam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…