Kikosi cha Tanzania kitakachoumana na Kenya kufuzu CHAN

Kikosi cha Tanzania kitakachoumana na Kenya kufuzu CHAN

Naona Kocha kaamua kujitoa Lawama kawaita Ajib Na Mkude,tuone Sasa kama tutafuzu CHAN
 
Naona kocha hataki lawama. vigezo vyote vya kibongo amezingatia. kwanza amewaita Kaseja, Mkude na Ajibu pia amemuita Sure boy je mtakuwa na cha kumlaumu?

Then amemuacha Sonso mnayemlaumug. Lakini vile vile Kaita Wagalatia 13 na Masheikh 13. mtalaum nini?
 
Back
Top Bottom