Kikosi cha Tanzania kitakachoumana na Kenya kufuzu CHAN

Kikosi cha Tanzania kitakachoumana na Kenya kufuzu CHAN

Nashauri tuu golini wamjaribu kaseja
Huyu jamaa huwa hazeeki. Zile kona anazofungwa manula tuone kama kwa JK zitapita 😎
 
Naomba tuu kelvin John apewe nafasi hata dk 15.

Ila onesmo mayaya na dickson Job wanahitajika taifa stars kwa aajili ya chan.
 
Back
Top Bottom