Kikosi cha Tanzania kitakachoumana na Kenya kufuzu CHAN

Kikosi cha Tanzania kitakachoumana na Kenya kufuzu CHAN

K
Hao nao wamezeeka tangu enzi za Maximo, inabidi wastaafu tu ili vijana wapate nafasi nao.
Kwa uchezaji wao na wachezaji tulionao sioni mchezaji wa kuwastaafisha wacha waendelee kuupiga mwingi mpaka tutakapopata vijana wenye uwezo unaoshabihiana na wao
 
Best post!
Na mpk sasa hamna lawama hata 1 kwa Mwl
Naona kocha hataki lawama. vigezo vyote vya kibongo amezingatia. kwanza amewaita Kaseja, Mkude na Ajibu pia amemuita Sure boy je mtakuwa na cha kumlaumu?

Then amemuacha Sonso mnayemlaumug. Lakini vile vile Kaita Wagalatia 13 na Masheikh 13. mtalaum nini?
 
Chan ni kwa ajili ya wachezaji wanaocheza ligi ya ndani tu, siyo nje ya nchi yako
Kumbe sio ndani ya Afrika? Afadhali maana tungemwona Ulimwengu kwenye huu ningechafukwa sana
 
Naona kocha hataki lawama. vigezo vyote vya kibongo amezingatia. kwanza amewaita Kaseja, Mkude na Ajibu pia amemuita Sure boy je mtakuwa na cha kumlaumu?

Then amemuacha Sonso mnayemlaumug. Lakini vile vile Kaita Wagalatia 13 na Masheikh 13. mtalaum nini?
Kocha kashatujua wabongo
 
Juma K Juma ni mtu sahihi kuwepo Taifa Stars hata huko Misri alipaswa kwenda sema ushabiki mandazi wetu ndo ulimfanya asiwepo
Timu nzuri yoyote ya taifa inapaswa kuwa na
1. Mastaa vijana ili kutengeneza timu ya muda mrefu yenye performance nzuri.
2. Wachezaji wanaocheza mara kwa mara (consistent players) kwa sababu ya uimara na utimamu (physic fitness)
3. Wachezaji wakongwe hawa husaidia walimu kufikisha maelekezo kwa wengine pia kuwasaidia vijana kisaikolojia uwanja hasa kujiamini.

Timu zote duniani zinazoapply mfumo huu plus kusimamia nidhamu nzuri kwa wachezaji hufanya vizuri MF Algeria, Germany, Brazil, Uholanzi, Ghana, Senegal hata majirani zetu Uganda wanafanya vizuri eneo hili.
 
Naona kocha hataki lawama. vigezo vyote vya kibongo amezingatia. kwanza amewaita Kaseja, Mkude na Ajibu pia amemuita Sure boy je mtakuwa na cha kumlaumu?
Then amemuacha Sonso mnayemlaumug. Lakini vile vile Kaita Wagalatia 13 na Masheikh 13. mtalaum nini?
Hahahaha
 
Back
Top Bottom