Kikosi cha Tanzania kitakachoumana na Kenya kufuzu CHAN

Naona Kocha kaamua kujitoa Lawama kawaita Ajib Na Mkude,tuone Sasa kama tutafuzu CHAN
 
Juma K Juma ni mtu sahihi kuwepo Taifa Stars hata huko Misri alipaswa kwenda sema ushabiki mandazi wetu ndo ulimfanya asiwepo
Hamna Cha Juma Wala Nani ,Tanzania maneno mengi,huyo Juma utakuja Mkataa
 
Naona kocha hataki lawama. vigezo vyote vya kibongo amezingatia. kwanza amewaita Kaseja, Mkude na Ajibu pia amemuita Sure boy je mtakuwa na cha kumlaumu?

Then amemuacha Sonso mnayemlaumug. Lakini vile vile Kaita Wagalatia 13 na Masheikh 13. mtalaum nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…