nteze john lungu
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 214
- 200
Kwa uchezaji wao na wachezaji tulionao sioni mchezaji wa kuwastaafisha wacha waendelee kuupiga mwingi mpaka tutakapopata vijana wenye uwezo unaoshabihiana na waoHao nao wamezeeka tangu enzi za Maximo, inabidi wastaafu tu ili vijana wapate nafasi nao.
Naona kocha hataki lawama. vigezo vyote vya kibongo amezingatia. kwanza amewaita Kaseja, Mkude na Ajibu pia amemuita Sure boy je mtakuwa na cha kumlaumu?
Then amemuacha Sonso mnayemlaumug. Lakini vile vile Kaita Wagalatia 13 na Masheikh 13. mtalaum nini?
Kumbe sio ndani ya Afrika? Afadhali maana tungemwona Ulimwengu kwenye huu ningechafukwa sanaChan ni kwa ajili ya wachezaji wanaocheza ligi ya ndani tu, siyo nje ya nchi yako
Gadiel kachukua nafasi ya ShabalalaMwantika na Ngalema? Shabalala hayumo!
Kocha kashatujua wabongoNaona kocha hataki lawama. vigezo vyote vya kibongo amezingatia. kwanza amewaita Kaseja, Mkude na Ajibu pia amemuita Sure boy je mtakuwa na cha kumlaumu?
Then amemuacha Sonso mnayemlaumug. Lakini vile vile Kaita Wagalatia 13 na Masheikh 13. mtalaum nini?
Timu nzuri yoyote ya taifa inapaswa kuwa naJuma K Juma ni mtu sahihi kuwepo Taifa Stars hata huko Misri alipaswa kwenda sema ushabiki mandazi wetu ndo ulimfanya asiwepo
Hahah ungekausha Mkuu tungewapata wakutosha.Bwege mmoja atahoji iweje Samata asiitwe.
HahahahaNaona kocha hataki lawama. vigezo vyote vya kibongo amezingatia. kwanza amewaita Kaseja, Mkude na Ajibu pia amemuita Sure boy je mtakuwa na cha kumlaumu?
Then amemuacha Sonso mnayemlaumug. Lakini vile vile Kaita Wagalatia 13 na Masheikh 13. mtalaum nini?
Bwege mmoja atahoji iweje Samata asiitwe.
Huyu hamna kituMkude Simba
Kwani bufon ana umri gani saivKaseja bado hajastaafu....
Ana umri gani kwa sasa?
Ivi Bufon bado hajastaafu....!!!Kwani bufon ana umri gani saiv
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wamesahau namba 27. ni mzee mwenyewe konki likwidi
Yule alisema atastaafu akifikisha miaka 52 naona kabakisha minane.Ivi Bufon bado hajastaafu....!!!
Nimeacha kumfuatilia miaka ya 2006/2007