Kikosi cha Urusi cha "58th army" chafyekwa bila kusazwa hata mmoja

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Sijui Putin huwaambia nini wazazi wa hawa wanajeshi wanaouawa kama senene.
___________________

KATERYNA TYSHCHENKO - Tuesday, 24 May 2022, 21:46

According to an intercepted conversation of a Russian serviceman, Russia’s 58th Army, which the aggressors themselves called one of their leading armies, was completely destroyed.

Source: Intercepted conversation published by the Security Service of Ukraine

Quote from a conversation between the aggressor and his wife: "There’s just about nothing left of the 58th Army. It was considered the toughest army in the Southern Military District. Bottom line, there’s almost nothing left of it.

Nimesoma hiyo habari kwenye link uliyoweka. Tatizo linabaki pale pale. Taarifa hii haijitoshelezi, haielezi wapi maangamizi haya yametokea, yaani tupe jina halisi la mahali maangamizi haya yametokea, tarehe, na ni kikosi gani cha Ukraine kimetekeleza maangamizi haya.
 
Naona unavyohangaika kwenye hii Conflict ya Ukraine kuliko hata Zelensky.

Ninavyokusoma inaonyesha unaumia sana unapoona NATO inakuwa outsmarted ndio maana unajaribu kutafuta kwa tochi issue za kukutia moyo zisizo za ukweli.

Hebu ruhusu AKILI na MOYO wako kuukubali ukweli otherwise utapata KIHARUSI kwa issue zisizo na faida kwa familia yako. Una conflict kibao ktk ndoa yako halafu unajibebesha U NATO tena.

RELAX BROTHER!!!
 
Kwa jinsi wanajeshi wa urusi walivyo pigana kwa dharau hilo swala linawezekana kabisa kama tu juzi waikufa wanajeshi 1000 wakati wanavuka mto na kile kikosi hatujui kilikuwa ni namba ngapi.

FSB wamelaumiwa sana kwa kumhadaa Putin na kutokumshauri uhalsia kabla hajawaza kuanza hivi vita, ila sidhani kama jamaa hushaurika.

Amepata aibu sana kwenye huu ugomvi.
 
Wee jamaa hata kama kwa mapenzi sio hivo....unalazimisha ushindi kwa kitu ambacho hakipo....Hivi huoni jinsi hali ilivyongumu huko Donbas?

Nafikiri hata viongozi wa Ukraine na Ulaya ni type kama za kwako...wanaweka mbele pride na hisia kuliko uhalisia..huwezi ukalazimisha Ukraine ashinde huku mtandaoni....

Mpaka sasa Ukraine hawezi kushinda tena...its over.....

Na pia tuache kusambaza fake news humu
 
Wee jamaa hata kama kwa mapenzi sio hivo....unalazimisha ushindi kwa kitu ambacho hakipo....Hivi huoni jinsi hali ilivyongumu huko Donbas??Nafikiri hata viongozi wa Ukraine na Ulaya ni type kama za kwako......
Sasa wewe mbona unajawa na jazba kwakuwa hupendi kusikia habari usizozipenda.Unaonaje ukiwa unapita kimya kimya? Nyinyi mnajaza thread hazina kichwa wala miguu mbona tunawavumilieni.Pelekeni udictator wenu uchwara kama wa Putin huko,hutaki kusoma mweke kwa Ignore list,tupo wengi tunaopenda kusoma
 
Wanataka wao tu ndio waimbe mapambio ya kumsifu Putin, ningewaelewa kama wangeshinda pale Kiev, lakini kwa namna walitolewa kwa aibu, huwa nawacheka sana.
Wamebaki kupigana vita ya comments na kujaza thread tu hapa.Wakiguswa kidogo wanaripuka kwa jazba kwa frustration walizonazo baada ya Putin kushindwa kuprove kuwa yeye ni Supapawa pale Kyiv
 
Sijui Putin huwaambia nini wazazi wa hawa wanajeshi wanaouawa kama senene.
___________________

KATERYNA TYSHCHENKO - Tuesday, 24 May 2022, 21:46

According to an intercepted conversation of a Russian serviceman, Russia’s 58th Army, which the aggressors themselves called one of their leading armies, was completely destroyed.

Source: Intercepted conversation published by the Security Service of Ukraine

Quote from a conversation between the aggressor and his wife: "There’s just about nothing left of the 58th Army. It was considered the toughest army in the Southern Military District. Bottom line, there’s almost nothing left of it.

Futuhi...!!
 
Urusi hii vita hawezi kushinda kwa kuwa anayepigana naye (Marekani) ana nguvu kubwa kijeshi na kiuchumi.
Urusi ni bora tu akubali kujitoa kwenye hii vita kupitia meza ya mazungumzo ambapo kwa kuanzia wataanza na cease fire ambapo majeshi yanayopigana yanasimamisha kwanza mapigano kwa mda wa miezi miwili mitatu ili kutoa fursa ya mazungumzo...
 
Warussi wa JF watakuja kupigana na wewe vita ya maneno hadi ushangae
 
Sijui Putin huwaambia nini wazazi wa hawa wanajeshi wanaouawa kama senene.
___________________

KATERYNA TYSHCHENKO - Tuesday, 24 May 2022, 21:46

According to an intercepted conversation of a Russian serviceman, Russia’s 58th Army, which the aggressors themselves called one of their leading armies, was completely destroyed.

Source: Intercepted conversation published by the Security Service of Ukraine

Quote from a conversation between the aggressor and his wife: "There’s just about nothing left of the 58th Army. It was considered the toughest army in the Southern Military District. Bottom line, there’s almost nothing left of it.

Unajua sisi ndio tunaochelewesha hii vita. Hivi kweli Dunia nzima tukipaza Sauti kumshauri Zelensky na Ukraine kua hawawezi kupigana na Mwamba Putin na Urusi si wanaweza kusikia na kuachana na Vita ambayo wanajua hawawezi kushinda. Tuwe na Huruma jamani, ndugu zetu wanapelekewa Moto sio kama tunavyodanganywa hali ni mbaya sana kwa Ukraine kuliko kwa Russia.
 
Sijui Putin huwaambia nini wazazi wa hawa wanajeshi wanaouawa kama senene.
___________________

KATERYNA TYSHCHENKO - Tuesday, 24 May 2022, 21:46

According to an intercepted conversation of a Russian serviceman, Russia’s 58th Army, which the aggressors themselves called one of their leading armies, was completely destroyed.

Source: Intercepted conversation published by the Security Service of Ukraine

Quote from a conversation between the aggressor and his wife: "There’s just about nothing left of the 58th Army. It was considered the toughest army in the Southern Military District. Bottom line, there’s almost nothing left of it.

This is war is not just mere jokes or playing. If they have been wiped out it is okay and good news for Ukrainians, but they have not wiped out the entire Russian army operating in Ukraine. In a war there will always be casualties and it is normal. Always those who start the war very few finishes it. But these are mere western propaganda ,on the battle field things are different. Time will tell, the Nazi will be punished and cleaned of their satanic ideology. Ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom