Kikosi cha Urusi cha "58th army" chafyekwa bila kusazwa hata mmoja

Kikosi cha Urusi cha "58th army" chafyekwa bila kusazwa hata mmoja

Wanataka wao tu ndio waimbe mapambio ya kumsifu Putin, ningewaelewa kama wangeshinda pale Kiev, lakini kwa namna walitolewa kwa aibu, huwa nawacheka sana.
Eti watu wanaacha sehemu muhimu kama Kyiv ambayo wangeiteka ingewasaidia sana kupunguza vita, wanarudi nyuma
 
Sijui Putin huwaambia nini wazazi wa hawa wanajeshi wanaouawa kama senene.
___________________

KATERYNA TYSHCHENKO - Tuesday, 24 May 2022, 21:46

According to an intercepted conversation of a Russian serviceman, Russia’s 58th Army, which the aggressors themselves called one of their leading armies, was completely destroyed.

Source: Intercepted conversation published by the Security Service of Ukraine

Quote from a conversation between the aggressor and his wife: "There’s just about nothing left of the 58th Army. It was considered the toughest army in the Southern Military District. Bottom line, there’s almost nothing left of it.

Piga takataka Putin
 
Wamebaki kupigana vita ya comments na kujaza thread tu hapa.Wakiguswa kidogo wanaripuka kwa jazba kwa frustration walizonazo baada ya Putin kushindwa kuprove kuwa yeye ni Supapawa pale Kyiv
Kumbe upo?
 
Modes ban ziendelee kunolewa kuna nyang'au kaanza kujitungia news hata ukraine wenyew wanashangaa kwa hatua waliopelekwa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anayeitaji chuma kutoka UKRAINE aniambie.nipo hapa wakala wa WARUSI.malipo yanafanyika kwa Ruble

huyu mkenya akishatafunaga mirungi yake hua anapenda kujifariji sana
Nimeshajiridhisha kuwa huyu MK 254 ni mtanzania wala so Mkenya. Angalia tu jinsi alivyo na Maneno meeengi yasiyo na mantiki . wakenya huwa wapo Straight. Ametumia tu fake Id.
 
Nimesoma hiyo habari kwenye link uliyoweka. Tatizo linabaki pale pale. Taarifa hii haijitoshelezi, haielezi wapi maangamizi haya yametokea, yaani tupe jina halisi la mahali maangamizi haya yametokea, tarehe, na ni kikosi gani cha Ukraine kimetekeleza maangamizi haya.
Ujue Kuna kurasa nyingine huwa sijisumbuhi kusoma Kama ya mtoa mada maana havijitosherezi kabisa.
Ila tunatofautiana mahaba Kama huyo hapo ni pro Ukraine. Anajiandikia Vitu visivyo na chanzo. Chanzo ni fikra zake.
 
Husomi kabisa halafu wakati huo huo unacoment,unakuwaje mtu mzima halafu muongo? Halafu hapa hakuna kurasa ila kuna Thread [emoji846]
 
Husomi kabisa halafu wakati huo huo unacoment,unakuwaje mtu mzima halafu muongo? Halafu hapa hakuna kurasa ila kuna Thread [emoji846]
Hawa ni comedians yaani, huchekesha sana.
 
Sijui Putin huwaambia nini wazazi wa hawa wanajeshi wanaouawa kama senene.
___________________

KATERYNA TYSHCHENKO - Tuesday, 24 May 2022, 21:46

According to an intercepted conversation of a Russian serviceman, Russia’s 58th Army, which the aggressors themselves called one of their leading armies, was completely destroyed.

Source: Intercepted conversation published by the Security Service of Ukraine

Quote from a conversation between the aggressor and his wife: "There’s just about nothing left of the 58th Army. It was considered the toughest army in the Southern Military District. Bottom line, there’s almost nothing left of it.

maveeee
 
Naona unavyohangaika kwenye hii Conflict ya Ukraine kuliko hata Zelensky.

Ninavyokusoma inaonyesha unaumia sana unapoona NATO inakuwa outsmarted ndio maana unajaribu kutafuta kwa tochi issue za kukutia moyo zisizo za ukweli.

Hebu ruhusu AKILI na MOYO wako kuukubali ukweli otherwise utapata KIHARUSI kwa issue zisizo na faida kwa familia yako. Una conflict kibao ktk ndoa yako halafu unajibebesha U NATO tena.

RELAX BROTHER!!!
Miji inatekwa kila kukicha
 
Urusi hii vita hawezi kushinda kwa kuwa anayepigana naye (Marekani) ana nguvu kubwa kijeshi na kiuchumi.
Urusi ni bora tu akubali kujitoa kwenye hii vita kupitia meza ya mazungumzo ambapo kwa kuanzia wataanza na cease fire ambapo majeshi yanayopigana yanasimamisha kwanza mapigano kwa mda wa miezi miwili mitatu ili kutoa fursa ya mazungumzo...
Unaizungumzia Zimbabwe au Urusi? Hebu KATA GOGO kwanza halafu uje
 
Wee jamaa hata kama kwa mapenzi sio hivo....unalazimisha ushindi kwa kitu ambacho hakipo....Hivi huoni jinsi hali ilivyongumu huko Donbas??Nafikiri hata viongozi wa Ukraine na Ulaya ni type kama za kwako...wanaweka mbele pride na hisia kuliko uhalisia..huwezi ukalazimisha Ukraine ashinde huku mtandaoni....

Mpaka sasa Ukraine hawezi kushinda tena...its over.....

Na pia tuache kusambaza fake news humu
Mambo ni magumu kwa Russia hiv ujiulizi huko donbas Russia anasiku ya ngapi anapiga kila aina ya silaha lakini wapi jamaa wapo...sasa hiv nimesikia kawaalika waarabu wa Syria waje wamsadia hii inamaana gani?

Mfano uko kwako jamaa kuna mtu anaingia sebleni kwako anataka kukutoa nje anashindwa anaamua kuita watu wamsaidie ili utolewe nje hapo kwa akili yako nani kashinda?aliyekuja kukutoa au wewe uliyegomea ndani kuwa hutoki?

PRO RUSSIA PUNGUZENI MAHABA
MKUBWA ANAAIBIKA HUKO PAMOJA NA MIGUVU YOTE ALIYONAYO RUSSIA DOGO BADO ANAMPELEKA MBIO PUTIN...
 
Wanataka wao tu ndio waimbe mapambio ya kumsifu Putin, ningewaelewa kama wangeshinda pale Kiev, lakini kwa namna walitolewa kwa aibu, huwa nawacheka sana.
Putin kiande kama viande wengine....
 
Chanzo chenyewe Cha ukraine,hiyo ni motisha TU Kwa wapambanaji wao🚶,hawezi kubali anakula kichapo kweli kweli,kwani itawavunja moto wapambanaji
 
Back
Top Bottom