Kikosi cha Urusi cha "58th army" chafyekwa bila kusazwa hata mmoja

Habari nyingine ya kujifariji kwa pro USA. Mnavyopenda sifa hiyo habari ingekuwa na ukweli mngeionyesha wiki nzima kwenye tv zenu za kimagharibi
 
machoko mtalia sana mwaka huu, na huyu ndio mwamba Putin yeye hakuna kuchonga ni kuwapelekea moto tu, na huu mwaka hakuna linda la choko yoyote litakalo baki salama.
 

Huyo mwamba wenu amelizwa na kataifa kadogo Ukraine, kichekesho sana yule.
 

Useless superpower, losing thousands of soldiers so recklessly in a fight against a tiny nation.
 
Mleta mada una habari kuwa leo hii mkoa wa SEVERODONESK umeshangukia kwenye mikono ya WARUSI
 
Useless superpower, losing thousands of soldiers so recklessly in a fight against a tiny nation.
How sure are you about this information? Are you on a battle field? Are you a soldier or been a soldier ,what is/was your title? Do you have a combat experience? So we all read the same media and we reserve ourselves to give comments like yours. Time is the only variable that never lie. Wait and see ,the future will tell us. What you do is just a blind fanatism
 
Mleta mada una habari kuwa leo hii mkoa wa SEVERODONESK umeshangukia kwenye mikono ya WARUSI

Nikiona jina mohamed kwenye jina lako wala sina haja ya kuwaza zaidi, kwa namna mnamuabudu Putin kha.
 

Neither are you on the battle ground, we are all following up from the comfort of our beds, we are consumers of the news from various outlets, the world has been reduced to a global village, internet has made it easy for us to get inundated by news, it's through internet that I learnt that Russia didn't manage to take over Kiev, despite marching a whole convoy of tens of kilometres long, they were taken out so easily.

Your idol Putin needs to learn a very important lesson, you can't use WW2 tactics to win any battle today.
 
Sawa kesho sisi warusi weusi tutaanza mazungumzo nanyie us weusi
Vita itasitishwa kuanzia kesho j3 majira ya alasiri
Hapo vp MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moto wanaopelekewa mkuu si wa Dunia hii🤣🤣🤣
 
Zelensiky hasikilizi watu waoga kama nyinyi.Yule ni Muyahudi na asili yao ni ujasili,kama huwajui nenda kaangalie The Six days war,The 1973 Yom Kippur war, na nyinginezo kibao ndiyo utajua Muyahudi kwenye ujasiri ni habari nyingine.Nyinyi bakini na uoga wenu wa kulazwa saa kumi na mbili jioni na Panya Road.
 
machoko mtalia sana mwaka huu, na huyu ndio mwamba Putin yeye hakuna kuchonga ni kuwapelekea moto tu, na huu mwaka hakuna linda la choko yoyote litakalo baki salama.
Tayari ushajaa pumzi,tunapress button kidogo tu,panic mode inakuwa activated at full capacity.[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…